Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

Mr Maxence Melo naomba mtusaidie sisi wazee wa tecno tuweze kuona picha na video isiwe lazima mpaka kuingia kwenye Chrome.

Tunaangaika mno kuona picha za kwenye mada mbalimbali humu ndani.
 
Melo niaje, mi nitakocomment nikishaona mwonekano mpya, kwa sasa everything iko poa
 
Mhhhhh... Nadhani tufikirie nje ya box. Tunaweza tengeneza solution ya kusaidia graduates kupata kazi na kuwaunganisha na wenye uhitaji wa watu wa fields husika.

Unalionaje pendekezo hili?
Wazo zuri sana hili ONGERA mkuu.
 
Tunayasubiri kwa hamu kubwa hayo maboresho.

Kingine mjitahidi kuzingatia maadili. Lugha za matusi na zisizo za kistaarabu zimeshamiri sana. Watu wanatukana matusi mazito sana humu. Lifanyieni kazi.
Naunga mkono hoja👏👏
 
Ahsante sana Big Boss, Mwenye siri ya kila mtu hapa.[emoji38][emoji851] Usisahau kuongezea jukwaa la WAKUBWA mhimu sana.
 
Najitahidi kushika taratibu zote ni hiyo tu ninayoivunja. Mkuu kulinganisha Lazima nilinganishe ndio Maana hata jukwaa la siasa limejaa nyuzi zinazolinganisha utebdaji kazi wa JPM na SSH. By nature unajua all things must be on equilibrium, Vitu haviwezi kua kwenye mlingano bila kufanyika Comparing ndio maana kuna Uzuri na ubaya, kushoto na kulia, Usiku na mchana.

Lazima nilinganishe sababu haiwezekani mimi nipewe Ban kwa kosa hilo lakini wengine kwao sio kosa, huoni hapo kuna Double Standard.

Kwakweli pole na samahani kwa kilichotokea, kwa sasa sifanyi hivyo tena. Labda kwa michango ya One year ago. Kuna wakati unakuta uliwahi kuandika mataputapu so inabidi nifute tu. Mana najua hasara yake
Mond please ishi maisha yako! that's the best I can tell you! Usijaribu kulinganisha tafadhali.. Utaishia kuumia tuu, utalinganisha vingapi kwenye maisha? Never mind about JF for a moment then njoo kwenye real life.. Unaweza kujikuta you are a public enemy!

The most important person in life is YOU! yourself! The rest are beyond your control! Be YOU! Utaishi kwa amani na furaha sana . halafu iachie hadhira ikuhukumu..kukupenda ama kukuchukia but you must remain to be you! Hutopendwa na wote hutachukiwa na wote . Ila popote utakapokuwa jitahidi kufuata kanuni na sheria.. Jitahidi mno kufuata kitu kinaitwa T&C
 
wekeni option ya ku limit comments hususani kwenye Nyuzi za story kuna watu wana boa
 
Mimi natumia App kupitia Tapatalk, huko pia kuna App mpya?
 
Back
Top Bottom