Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

We Melo,
Kunawatu humu majinayao muyabadilishe kama mnaweza,ilitusionekane tunatukana kwa mfano jina "chinembe" kibantu bantu linatafsirika kirahisi, mtu anaweza kuchafua haliyahewa humu kwa hoja kihoja ukimlinganisha na jinalake eti unakula ban, this is not fair.
True kuna majina humu ni balaa
Mf:

_ kitombile
_chinembe
_inama nkusweke
_kitombise
_nk
 
Melo kwanini hupokei matangazo ya vinywaji has bia na yale ya kubeti? Ni sera ya Jf kutopokea matangazo hayo? Tukiacha hayo bado Jf kwa ukubwa wake haipaswi kuzidiwa na blog au website yeyote hapa Tanzania kwa wingi wa Matangazo ya kibiashara!

Nini kinakwamishwa kupata matangazo? Nini shida
 
sio siri watumuaji wa app mmetutenga san lkn kwa ulimwengu wa mitandao ya kijamii wa sasa app ni rahis na inapendwa zaidi kuliko web.
.
so jitaifin kuleta updates kwenye app original sio ile webapp...
Ndo nililosema mie hili.
 
Da'Vinci ukiweza kubali maonyo wala huna haja ya kushupaza shingo na kujaribu kufanya ulinganifu wa hiki na kile.. Ukiweza badilika na usifute comments zako za nyuma.. Fuata kanuni, sheria na taratibu za JF uone kama utapigwa ban yoyote.. Just OBEY N FOLLOW THE RULES! That
Sawa haina shida
Pole kwa tatizo lako ila kiukweli hata mimi kuna siku ulinifutia comment nikaonekana kama najisemesha

Sio mchongo kwa kweli
Kwakweli pole na samahani kwa kilichotokea, kwa sasa sifanyi hivyo tena.
 
News mpya za kila siku ziwe na muonekano au rangi tofauti ili ziweze kusomeka kwa urahisi.
2. Punguzeni Ban
3. Lianzishe jukwaa la wapendanao ili vijana walitumie kupata marafiki wa kuoana/ kuoa
4. Lianxishe jukwaa la kazi na ajira tu kwa ajili ya vijana ambao ni kundi kubwa
Hayo majukwaa yapo kitambo mbona
 
Ana matusi balaa coz anajua akipigw ban ana backup ya multiple ID

Jamaa ana account zaid ya 4
Kumzuiya mtu kuwa na multiple accounts ni sawa kabisa, lakini sijui wata fanyaje kwa mtu mwenye cm zaidi ya moja.

Otherwise nisawa, kunawatu wana jibu postizao wenyewe humu kama....!
 
Ushauri wangu,wekeni option ya kumfanya member aweze kupewa warning kabla hajapigwa BAN ili ajue ajirekebishe vipi.

Wengi humu hawako comfortable na id zao wanazotumia sasa kutokana na walipigwa life ban Id zao za zamani kutokana mods kuhisi hisi watu hovyo,watu tunawasiliana PM kwa mambo ya maana siku mods akiamka vibaya mtu anakula life ban ukihitaji urudi PM ktk acc yako kuangalia yale mliyoshauriana na member mwenzio uyafanyie kazi ktk maisha halisi huwezi tena ku-access chochote.

Ni ushauri tu nimetoa.
Hili la muhimu Sana onyo Kwanza
 
Back
Top Bottom