Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

Kwanini msilete mabadiliko ya app iliyopo play store make ndo rahisi katika matumizi kuliko hiyo webapp
 
Hamtupendi na hamtujali, kwenye mabadiliko hayo ondoeni uwezo wa Mods kubadili kichwa cha habari bila idhini ya mleta mada, pia kumpiga BAN member bila kumsikiliza ni dalili za udhaifu. Tafuteni namna ya kuzuia member kujisajili zaidi ya mara moja.
 
Comment Moja inajaa screen nzima ,mods angalieni namna ya kupunguza size.
 
Once I kick you out‘utapata notification kuwa nimekukick out na pia ile convo niliyokukick out kwako utafutika automatically.

Leave yenyewe nikileave hapo bado kwako we utaendelea kuwa na zile chats.
Hapa nakubali.
 
Ushauri wako mzuri sema nafikiri badala ya kumpa mod hio kazi iweke mfumo wa upvote yaani comment and post ziwe zinaweze kuwekewa upvote na users/readers na inakuwa kigezo cha kupandisha comment juu.Ikiwezekana pia mtumiaji awe na uwezo wa kucustomize mtirirko wa Comment.Na pia Post ikiwa update na original author itume notifications
 
@Maxence Melo uione hii
 
Once I kick you out‘utapata notification kuwa nimekukick out na pia ile convo niliyokukick out kwako utafutika automatically.

Leave yenyewe nikileave hapo bado kwako we utaendelea kuwa na zile chats.
Pm za wengine zinateseka sana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[mention]Maxence melo [/mention] mkuu app haitoi notifications za wakati husika hadi masaa kadhaa yapite
Yaan kuanzia masaa8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…