- Feb 10, 2006
- 4,324
- 13,967
- Thread starter
- #341
Do it yourself https://www.jamiiforums.com/account/usernameNaomba iwepo option ya kubadili jina la ID
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Do it yourself https://www.jamiiforums.com/account/usernameNaomba iwepo option ya kubadili jina la ID
Wee cheka tu lakini inaudhi kweli kuonekana aina ya simu mtu anayotumia,kwa mfano mimi imeanza tuu ghafla kuonyesha awali ilikuwa haionyeshi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hamtupendi na hamtujali, kwenye mabadiliko hayo ondoeni uwezo wa Mods kubadili kichwa cha habari bila idhini ya mleta mada, pia kumpiga BAN member bila kumsikiliza ni dalili za udhaifu. Tafuteni namna ya kuzuia member kujisajili zaidi ya mara moja.Wakuu,
Tupo kwenye hatua za mwisho kuja na JF yenye mwonekano mpya ambayo inaendana na mabadiliko ya teknolojia. Kwa wanaohitaji kuwa sehemu ya majaribio, mnakaribishwa...
Katika mabadiliko haya, huenda ukakutana na kitu kikakufurahisha, kikakuchanganya, kikakufanya uone kuna haja ya kuongeza au kupunguza n.k - usisite kutujulisha kupitia uzi huu.
Thread hii itatumika kukusanya maoni yenu na yatazingatiwa ajili ya kujenga sehemu bora na salama zaidi kwa ajili ya kila mmoja wetu.
Kwa wale watumiaji wa App, tunashauri kujaribu App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi kwani itaendana vema zaidi na kinachokuja.
Tunawashukuru kwa ushirikiano mnaotupa kila mara kwani hadi toleo hili ni tokana na maoni yenu.
Kutakuwa na features kadhaa hazitakuwa released mapema hadi zikamilike kufanyiwa testing ndipo ziwe applied.
Tunawapenda, tunawajali na tunaahidi kuendelea kutoa huduma bora.
Asanteni sana!
Hapa nakubali.Once I kick you out‘utapata notification kuwa nimekukick out na pia ile convo niliyokukick out kwako utafutika automatically.
Leave yenyewe nikileave hapo bado kwako we utaendelea kuwa na zile chats.
Ni halotel na inapiga Kazi mda wote na mimi nimetoka kuhakikisha mdau huu ipo fresh tuMkuu Maxence Melo Mshana Jr na wakuu wengine wote.
Naombeni mniambie jamii forums inapatikana free basics ya mtandao gani?? Nimejaribu Halotel lakini haifunguki
Mic u mnooo. [emoji6][emoji6][emoji6]Nimekumiss zaidi[emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo,
Waturekebishie..siyo kila siku tuimbe nyimbo hizi hizi tu[emoji4]
Ushauri wako mzuri sema nafikiri badala ya kumpa mod hio kazi iweke mfumo wa upvote yaani comment and post ziwe zinaweze kuwekewa upvote na users/readers na inakuwa kigezo cha kupandisha comment juu.Ikiwezekana pia mtumiaji awe na uwezo wa kucustomize mtirirko wa Comment.Na pia Post ikiwa update na original author itume notificationsUshauri wangu,
Kwenye kila uzi, mods wapandishe juu zile top comments haijalishi zina likes au reaction ngapi.
Point yangu ni ili msomaji aliyevutiwa na heading ya uzi akutane na comments za maana tu zinazohusiana na uzi kwanza.
Zile cheap comments ambazo hazihusiani na mada husika kama kusalimiana na kutaniana ziwe chini. Kwaiyo msomaji akifungua uzi anakua na uwezo wa kuona machangio yanayohusiana na mada kwa mtitiriko mzuri!
Shukrani!
Na mie nataka sana hili.Kwanini msilete mabadiliko ya app iliyopo play store make ndo rahisi katika matumizi kuliko hiyo webapp
@Maxence Melo uione hiihalafu kwa member ambao ni sinior ,Basi mbuni namna fulani ,nyota [emoji294],[emoji294][emoji294],[emoji294][emoji294][emoji294], au color of hornerable of seniority.
maana Kuna wakati unajikuta mtu umekomaa kujibizana na katt ka darasa la Saba .
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni halotel na inapiga Kazi mda wote na mimi nimetoka kuhakikisha mdau huu ipo fresh tuView attachment 2240389
Pm za wengine zinateseka sana[emoji23][emoji23][emoji23]Once I kick you out‘utapata notification kuwa nimekukick out na pia ile convo niliyokukick out kwako utafutika automatically.
Leave yenyewe nikileave hapo bado kwako we utaendelea kuwa na zile chats.
Ametisha sana hahaAisee... Inaelekea uko vizuri sana kwenye PM. Nimefeli wapi mimi? Ngoja nimPM Ashura