Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

Kwanini msilete mabadiliko ya app iliyopo play store make ndo rahisi katika matumizi kuliko hiyo webapp
 
Wakuu,

Tupo kwenye hatua za mwisho kuja na JF yenye mwonekano mpya ambayo inaendana na mabadiliko ya teknolojia. Kwa wanaohitaji kuwa sehemu ya majaribio, mnakaribishwa...

Katika mabadiliko haya, huenda ukakutana na kitu kikakufurahisha, kikakuchanganya, kikakufanya uone kuna haja ya kuongeza au kupunguza n.k - usisite kutujulisha kupitia uzi huu.

Thread hii itatumika kukusanya maoni yenu na yatazingatiwa ajili ya kujenga sehemu bora na salama zaidi kwa ajili ya kila mmoja wetu.

Kwa wale watumiaji wa App, tunashauri kujaribu App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi kwani itaendana vema zaidi na kinachokuja.

Tunawashukuru kwa ushirikiano mnaotupa kila mara kwani hadi toleo hili ni tokana na maoni yenu.

Kutakuwa na features kadhaa hazitakuwa released mapema hadi zikamilike kufanyiwa testing ndipo ziwe applied.

Tunawapenda, tunawajali na tunaahidi kuendelea kutoa huduma bora.

Asanteni sana!
Hamtupendi na hamtujali, kwenye mabadiliko hayo ondoeni uwezo wa Mods kubadili kichwa cha habari bila idhini ya mleta mada, pia kumpiga BAN member bila kumsikiliza ni dalili za udhaifu. Tafuteni namna ya kuzuia member kujisajili zaidi ya mara moja.
 
Comment Moja inajaa screen nzima ,mods angalieni namna ya kupunguza size.
 
Once I kick you out‘utapata notification kuwa nimekukick out na pia ile convo niliyokukick out kwako utafutika automatically.

Leave yenyewe nikileave hapo bado kwako we utaendelea kuwa na zile chats.
Hapa nakubali.
 
Mkuu Maxence Melo Mshana Jr na wakuu wengine wote.

Naombeni mniambie jamii forums inapatikana free basics ya mtandao gani?? Nimejaribu Halotel lakini haifunguki
Ni halotel na inapiga Kazi mda wote na mimi nimetoka kuhakikisha mdau huu ipo fresh tu
IMG_20220527_095037.jpg
 
Ushauri wangu,

Kwenye kila uzi, mods wapandishe juu zile top comments haijalishi zina likes au reaction ngapi.

Point yangu ni ili msomaji aliyevutiwa na heading ya uzi akutane na comments za maana tu zinazohusiana na uzi kwanza.

Zile cheap comments ambazo hazihusiani na mada husika kama kusalimiana na kutaniana ziwe chini. Kwaiyo msomaji akifungua uzi anakua na uwezo wa kuona machangio yanayohusiana na mada kwa mtitiriko mzuri!

Shukrani!
Ushauri wako mzuri sema nafikiri badala ya kumpa mod hio kazi iweke mfumo wa upvote yaani comment and post ziwe zinaweze kuwekewa upvote na users/readers na inakuwa kigezo cha kupandisha comment juu.Ikiwezekana pia mtumiaji awe na uwezo wa kucustomize mtirirko wa Comment.Na pia Post ikiwa update na original author itume notifications
 
halafu kwa member ambao ni sinior ,Basi mbuni namna fulani ,nyota [emoji294],[emoji294][emoji294],[emoji294][emoji294][emoji294], au color of hornerable of seniority.
maana Kuna wakati unajikuta mtu umekomaa kujibizana na katt ka darasa la Saba .

Sent using Jamii Forums mobile app
@Maxence Melo uione hii
 
Once I kick you out‘utapata notification kuwa nimekukick out na pia ile convo niliyokukick out kwako utafutika automatically.

Leave yenyewe nikileave hapo bado kwako we utaendelea kuwa na zile chats.
Pm za wengine zinateseka sana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[mention]Maxence melo [/mention] mkuu app haitoi notifications za wakati husika hadi masaa kadhaa yapite
Yaan kuanzia masaa8
 
Back
Top Bottom