Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

Mnapofuta nyuzi muwe mnatoa na sababu juzi tu hapa nililalamikia wadada wanao inama kama ngamia wakiwa sita kwa sita badala ya kubinuka binu!..
Uzi ukafutwa sababu sikupewa!

Ahsante nanyinyi kwa ushirikiano wenu jf for life.
 
Mbona mi sipati notification?

Kuna watu tunawablock ila bado wakianzisha mada twaona mada zao

Kwanini msiweke ukimtia mtu block usione mada yoyote anayoanzisha wala hata changizo zake zozote zile

Pia kwanini msituwekee uwezo wa kuzuia mada fulani, tusizione kabisa ie mada za kukashfu dini za wengine etc
Kama unaposti na wewe vumilia kuona na kusoma posti za wengine.
 
Ningeomba kuwe na jukwaa ambalo mtu akitaka taarifa fulani aweze kupost kwenye hilo jukwaa, kuliko kila mtu akiwa na uhitaji fulani wa kitu au taarifa anafungua uzi mpya.

Mtu unataka kujua labda kitu fulani kinauzwa kiasi gani, au umepotea njia unaulizi au neno fulani limekutatiza au taarifa yoyote ambayo mtu angependa kuipata, badala ya kufungua uzi basi kuwe na jukwaa ambalo anaweza kupata hio taarifa yake.
 
Back
Top Bottom