The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Kufuta comment ndio ikoje mkuu? naomba kufahamishwa.Inatakiwa wakulime japo ya mwaka.
Wenzio wote hawafutifuti hovyo kama wewe Vinci.
Ulishaambiwa wewe ni bingwa wa kuharibu flow ya mada,bado unauliza tena kitu kilekile!
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mengine yote mliyofanya ni mazuri lakini hili la kufungua unakutana na trending Ni mbaya Bora mrudishe ukifungua unakutana na forumWakuu,
Tupo kwenye hatua za mwisho kuja na JF yenye mwonekano mpya ambayo inaendana na mabadiliko ya teknolojia. Kwa wanaohitaji kuwa sehemu ya majaribio, mnakaribishwa.....
Pia mgeweka sehemu yakufuta thread Kwa aliyeiandikaWakuu,
Tupo kwenye hatua za mwisho kuja na JF yenye mwonekano mpya ambayo inaendana na mabadiliko ya teknolojia. Kwa wanaohitaji kuwa sehemu ya majaribio, mnakaribishwa.....
Hata kwenye app unaweza kuchagua page ila iwe option, sio unaingia unakutana nayo ca you imagine page 6000+ kazi yako ni next next next. Hii iondolewe mtu ashuke mpaka atakapoishia then akiondoka akirudi ataanzia alipoishia.Kuna umuhimu wa kwenda page 2, page3 nk.
Hii inasaidia mtu kuwa anakariri comment fulani au mada fulani ilikuwa pagenamba gani.
Halafu inamfanya mtu kuwa engaged na kuweza kusoma comment zote/kupitia mada zote mpaka page ya mwisho.
ila ukiweka option ya kuscroll tu kwenda chini, inamfanya mtu awahi kuboeka na kutaka kuscroll mpaka mada/koment ya mwisho.
Kwenye hizo page 6000+ si kuna option ya kwenda last page? Pia waweke option ya kuingiza namba ya page unayotaka kurukia.Hata kwenye app unaweza kuchagua page ila iwe option, sio unaingia unakutana nayo ca you imagine page 6000+ kazi yako ni next next next. Hii iondolewe mtu ashuke mpaka atakapoishia then akiondoka akirudi ataanzia alipoishia.
Nawaomba waondoe hiyo NEXT PAGE inaboa sana.