Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

Mi naona kwenye maandishi na style,,mngeset hii mliyoweka sasa kama default lakini pia kwa wasioipenda mngewapa option ya kuchagua, font style ya maandishi na ukubwa wa maandishi
 
Wakuu,

Tupo kwenye hatua za mwisho kuja na JF yenye mwonekano mpya ambayo inaendana na mabadiliko ya teknolojia. Kwa wanaohitaji kuwa sehemu ya majaribio, mnakaribishwa.....
Mengine yote mliyofanya ni mazuri lakini hili la kufungua unakutana na trending Ni mbaya Bora mrudishe ukifungua unakutana na forum
 
Wakuu,

Tupo kwenye hatua za mwisho kuja na JF yenye mwonekano mpya ambayo inaendana na mabadiliko ya teknolojia. Kwa wanaohitaji kuwa sehemu ya majaribio, mnakaribishwa.....
Pia mgeweka sehemu yakufuta thread Kwa aliyeiandika
 
Maandishi makubwa mno
New posts shortcut
Kuonesha idadi ya page
 
Huu mfumo mpya sijauelewa kabisa TRENDING na NEW POST uki VIEW MORE; ndo mwisho au mie ndo sijaelewa. Zama zile ilikuwa unaweza kufungua new post mpaka page ya 25. Inanikata stimu kweli kweli inanilazimisha niingie kwenye majukwaa moja moja wakati nilikuwa naweza kuingia kwenye new post na kusoma majukwaa mbalimbali au mie ndo sijaelewa huu mfumo mpya. .

Hapa yenyewe nahangaika kutafuta my past thread, aisee huu mfumo bado haujanikaa vizuri kabisa. Tupeni somo Maxence Melo sielewi elew. Maoni yangu mfumo wa kwanza ulikuwa vizuri sana huu uko very boaring. Maandishi yapo makubwa sana kero kweli
 
Swala la privacy ndio swala kubwa na lamuhimu kuliko vitu vyote. Members wanahitaji kuwa secured isije kutokea kama yule mwanasheria wa tigo wakati wa kesi ya mbowe Maxence Melo
 
Kuna umuhimu wa kwenda page 2, page3 nk.
Hii inasaidia mtu kuwa anakariri comment fulani au mada fulani ilikuwa pagenamba gani.
Halafu inamfanya mtu kuwa engaged na kuweza kusoma comment zote/kupitia mada zote mpaka page ya mwisho.
ila ukiweka option ya kuscroll tu kwenda chini, inamfanya mtu awahi kuboeka na kutaka kuscroll mpaka mada/koment ya mwisho.
Hata kwenye app unaweza kuchagua page ila iwe option, sio unaingia unakutana nayo ca you imagine page 6000+ kazi yako ni next next next. Hii iondolewe mtu ashuke mpaka atakapoishia then akiondoka akirudi ataanzia alipoishia.
Nawaomba waondoe hiyo NEXT PAGE inaboa sana.
 
huu muonekano wa leo sijauelewa kwa kweli, maandishi makubwa utadhan tunaumwa macho

ukifungua unakutana na trending , mara jukwaa la siasa...bora mturudishie forum tu,
mtu achague anaanzia jukwaa gani kama ilivyokuwa mwanzo
 
Hata kwenye app unaweza kuchagua page ila iwe option, sio unaingia unakutana nayo ca you imagine page 6000+ kazi yako ni next next next. Hii iondolewe mtu ashuke mpaka atakapoishia then akiondoka akirudi ataanzia alipoishia.
Nawaomba waondoe hiyo NEXT PAGE inaboa sana.
Kwenye hizo page 6000+ si kuna option ya kwenda last page? Pia waweke option ya kuingiza namba ya page unayotaka kurukia.
 
Mbona mimi sijaona hayo mabadiliko?
Wekeni picha
 
Kwangu maandishi makubwa hakuna, labda inategemea aina ya simu. Lkn naona kama maandishi ni faint mnoo..

Halafu, some features that made Jf web surfing seamless and friendly are no more🙄

Kweli mapishi mengi huharibu mchuzi!!
 
Khaaaaaaa ni Ovyo kabisa.. Ile ya Mwanzo ya maana sana. Wamekosea kwa kweli.wajaribu vinginevyo
 
Back
Top Bottom