Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Bado ipo, sasa hivi ipo juu ya Post chini ya Avatar yako, Change Style na vimisitari vinene vifupi vitatu, bonyeza hivyo utapata mtazamo unaoutaka.Wakuu, hapa JF kulikuwa na option ya kubadili mwonekano wa JF kwenye kifaa chako, mimi nilipendelea kuweka ile mode ya dark, ila tangia yafanyike mabadiliko ile dark imeondoka na sielewi kama imeondolewa au imewekwa wapi.
Naipenda Dark Mode maana ni yakipekee.
Anayejua msaada tafadhali.
Watu Kama wewe unakula ban tu.Niweke neno kwa Melo kabla hamjapiga watu ban wapewe nafasi ya kusikilizwa na kuonywa ikiwezekana.
Nimeiona mkuu, shukrani!Bado ipo, sasa hivi ipo juu ya Post chini ya Avatar yako, Change Style na vimisitari vinene vifupi vitatu, bonyeza hivyo utapata mtazamo unaoutaka.
Mkuu Maxence Melo hii ni ukiingia JF using browser unakutana na section ya Trending sasa ukishuka chini kupata threads zaidi uta-press kitufe cha 'more' nilitegemea ukifika mwisho tena tukute tena kitufe cha 'more' au vile vinamba (1, 2, 3, 4, n.k) ila nilichogundua inakubidi usubiri mpaka threads zijiongeze zenyewe automatically kitu ambacho mostly huwa zinagoma haiko reliable kabisa.Kwenye new posts hamna numbers kama mwanzo… kuna muda ukiview more once lile neno view more linapotea, na mtu unashindwa kuona next posts. View attachment 2251812
Huna akili.Suala la id nyingi itabidi mlitatue, maana kuna watu wanatengeneza Id nyingi sana. Na kila Id una kazi yake utakuta moja ya kukashifu,kutukuza,kupost ujinga n.k inakuwa sio poa, inapaswa user wawe reality na post zao ndio maana mfumo huu ukaitwa jamii forum.
Kudeal na hili mimi napendekeza
Akaunti ifatiliwe kwa kuangalia location ya device, email za mtumiaji Kama zipo kwenye device moja, kulogin mara kwa mara kwa device moja au mbili kwa mda fulani mtakaouset, nahisi mtaweza zuia multiple id kwa user. Inakera jitu linajifanya lijuaji then akaunti nyingine sio lijuaji Kama watoto vile uzuri wengine huumbuka.
moderator angalieni huyu ni mmojawapo naona kafungua nyingine. Mgeni hawezi kujiunga na kukashfu kirahisi hivi. Angalieni log activities zake , location na device mtazinasa id zakeHuna akili.
Wameharibu sana kwenye browser.Muonekano mpya kwa watumiaji wa browser uko ovyo kinoma,, ama hakika kuchamba kwingi........
Mabadiliko yao mapya mabaya mnoWameharibu sana kwenye browser.
Maxence Melo Moderator kwanini tunaomba sana kwenye browser mtuwekee kitufe cha kwenda next page upande wa chini hamtuwekei?
Yaani kama nabrowse kwenye jukwaa nikitaka kwenda next page lazima nirudi tena juu.
Hii imekua biased sana,wamewazingatia wenye uoni hafifu na kuwaacha wasio na tatzo hilo,wakati walitakiwa kubalance,font size za namna hii zinawaumiza macho kwa wasio na tatzo la uoni hafifuMaxence Melo mkuu naona mmeitingisha tena browser. Layout yake haijakaa vizuri mkuu, tunaomba ili iwe rahisi kutumia baada ya baton ya trending ifuate new post. Vinginevyo Layout ya sasa inakuwa na changamoto maana ukitaka kupata new posts hadi uscroll right mwishoni kabisa. Kimsingi new post baton mmeificha sana.
Jambo la pili tunaomba font-size ya heading kwenye homepage mpunguze. Maandishi ni makubwa sana hayapendezi kiusomaji. Najua lengo lenu nu kuwapa unafuu wenye uono hafifu ila kwa nini iwe kwenye heading peke yake. Tunaomba setting ya font size muiache kwa user isiwe default. Kila user awe na uwezo wa kufanya settings ya font-size anayoitaka.