Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuwa inapendeza sana kuwa vile sijui nani alishaurikutolewa..Wekeni display ya page tatu za mwisho za kila thread kama ilivyokuwa muonekano uliopita.
Waswahili wanamsemo wao unasema "Kuchamba kwingi kutoka na mavi",inamaanisha ukiremba sana mwisho wa siku utaharibu.Ndicho walichofanya JamiiForums.Ilikuwa inapendeza sana kuwa vile sijui nani alishaurikutolewa..
ShukranKaribu 🤝
Nina changamoto 2 bado 😒 oh no, tena ni 3 hivi..
Zipi hizo...Nina changamoto 2 bado 😒 oh no, tena ni 3 hivi..
Mbona ipo? Naomba screenshot nione unachoonaMimi nashindwa kusoma thread nzima kama ilivyokuwa zamani nyuzi zilikuwa na pages,ukimaliza page ya kwanza unabonyeza ya pili au unachagua page yoyote unayoitaka katika thread,lakini kwa sasa hakuna hicho kitu sasa sijajua ni simu yangu tu au ni hayo marekebisho yenu huko!!!?? Ingekuwa vizuri mngerudisha ule mfumo wa pages katika thread kama ilivyokuwa mwanzo
Tuko wengiMimi sipati notification kabisa
Kwenye new posts hamna numbers kama mwanzo… kuna muda ukiview more once lile neno view more linapotea, na mtu unashindwa kuona next posts.Mbona ipo? Naomba screenshot nione unachoona
1. Kick outZipi hizo...
Habari mkuu pole kwa usumbufu. Dark mode Bado ipo sema kwa sasa imeandikwa tofauti. Button Yake imeandikwa CHANGE STYLE, inapatikana ukibonyeza menu button. I click mpaka ije rangi ya dark mode mana Kuna feature kama tatu hiviWakuu, hapa JF kulikuwa na option ya kubadili mwonekano wa JF kwenye kifaa chako, mimi nilipendelea kuweka ile mode ya dark, ila tangia yafanyike mabadiliko ile dark imeondoka na sielewi kama imeondolewa au imewekwa wapi.
Naipenda Dark Mode maana ni yakipekee.
Anayejua msaada tafadhali.
Habari mkuu pole kwa usumbufu. Dark mode Bado ipo sema kwa sasa imeandikwa tofauti. Button Yake imeandikwa CHANGE STYLE, inapatikana ukibonyeza menu button. I click mpaka ije rangi ya dark mode mana Kuna feature kama tatu hivi