mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 23,965
- 131,949
Nimekumiss zaidi[emoji8]Abeeeh dada, miss u, [emoji6][emoji6][emoji6]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekumiss zaidi[emoji8]Abeeeh dada, miss u, [emoji6][emoji6][emoji6]
Mkuu hongera sana kwa maboresho.Wakuu,
Tupo kwenye hatua za mwisho kuja na JF yenye mwonekano mpya ambayo inaendana na mabadiliko ya teknolojia. Kwa wanaohitaji kuwa sehemu ya majaribio, mnakaribishwa...
Katika mabadiliko haya, huenda ukakutana na kitu kikakufurahisha, kikakuchanganya, kikakufanya uone kuna haja ya kuongeza au kupunguza n.k - usisite kutujulisha kupitia uzi huu.
Thread hii itatumika kukusanya maoni yenu na yatazingatiwa ajili ya kujenga sehemu bora na salama zaidi kwa ajili ya kila mmoja wetu.
Kwa wale watumiaji wa App, tunashauri kujaribu App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi kwani itaendana vema zaidi na kinachokuja.
Tunawashukuru kwa ushirikiano mnaotupa kila mara kwani hadi toleo hili ni tokana na maoni yenu.
Kutakuwa na features kadhaa hazitakuwa released mapema hadi zikamilike kufanyiwa testing ndipo ziwe applied.
Tunawapenda, tunawajali na tunaahidi kuendelea kutoa huduma bora.
Asanteni sana!
Ndiyo,Wee sis yote haya khaaaah. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ungeandika kiswahili tuuBoss maombi yangu kwenu.
Naomba kuwe na algorithm ambayo itaweza deduce ni contents gani unaziangalia mara nyingi hivyo uwe unaletewa contents ambazo hazitakufanya uwe unarefresh over and over just kupata kitu kipya.
Kwa sasa hivi unaweza kuta Id moja ina nyuzi zake nne zipo kwenye user interface, ukirefresh, bado zinakuja za Id hiyo hiyo. Bahati mbaya waweza kuta hiyo Id hua inaandika miyeyusho day in day out.
Najua kuna ignore button ila ukimuignore mtu ikatokea siku kwa bahati mbaya au nzuri kaandika contents unazozielewa hautaweza ona.
Natanguliza shukrani.
Muhaya kwenye ubora wakoChief Maxence Melo nahitaji na mimi jina langu liwe na maandishi ya rangi njano. [emoji23][emoji23]
Alafu nashauri sisi wakongwe humu/member wa muda mrefu tuwe na upekee wa rangi za maandishi na mwonekano tofauti na hivi vitoto vinavyojiunga siku hizi.
U-senior wetu uwe wazi.
Kama haujui lugha tofauti na kiswahili hilo siyo kosa languUngeandika kiswahili tuu
Naunga mkono hoja.Ushauri wangu,
Kwenye kila uzi, mods wapandishe juu zile top comments haijalishi zina likes au reaction ngapi.
Point yangu ni ili msomaji aliyevutiwa na heading ya uzi akutane na comments za maana tu zinazohusiana na uzi kwanza.
Zile cheap comments ambazo hazihusiani na mada husika kama kusalimiana na kutaniana ziwe chini. Kwaiyo msomaji akifungua uzi anakua na uwezo wa kuona machangio yanayohusiana na mada kwa mtitiriko mzuri!
Shukrani!
Ya search utayaona tuuHaya majina kweli yapo au umeamua kuzingua tu? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
😂😂😂😂Hatutaki ziwe zinaonekana aina za simu haswa hizi simu za wanyonge infinix na Tecno kama hapo chini ukipublish tuu
Pia ukituma iphone huoni kitu kama hicho
Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
Muhaya kwenye ubora wako