Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
well said mkongweMond please ishi maisha yako! that's the best I can tell you! Usijaribu kulinganisha tafadhali.. Utaishia kuumia tuu, utalinganisha vingapi kwenye maisha? Never mind about JF for a moment then njoo kwenye real life.. Unaweza kujikuta you are a public enemy!
The most important person in life is YOU! yourself! The rest are beyond your control! Be YOU! Utaishi kwa amani na furaha sana . halafu iachie hadhira ikuhukumu..kukupenda ama kukuchukia but you must remain to be you! Hutopendwa na wote hutachukiwa na wote . Ila popote utakapokuwa jitahidi kufuata kanuni na sheria.. Jitahidi mno kufuata kitu kinaitwa T&C
wanayeyusha sana kwakweli, alafu wanaanza kudiscuss ujinga wao kwenye thread za watuMaxence Melo kuna watu wao kazi ya ni kucheka tu kwenye Uzi, hata kama jambo alichekeshi, wapeni onyo. Alaf pia kuna wegine ni midume ila inatumia ID za kike, hao wapigwe ban
Hili jukwaa litakuwa zuri sana.Maxence Melo tunaomba utuwekee jukwaa rasmi la Diet, Nutrition na Physical Exercises, kuna Trainers wazuri wa mazoezi ya viungo humu watakuwa wanatuelekeza.
Hili ni muhimu pia. Halafu Mara nyingine kuna tatizo la Ku upload (kupakia) picha humu, ukipakia picha zaidi ya moja inafika moja tu zingine zinakuwa hidden.
Moderators wa humu hawapo serious kuhakikisha michango yote kwenye mada ina mahusiano na mada hiyo.wanayeyusha sana kwakweli, alafu wanaanza kudiscuss ujinga wao kwenye thread za watu
Ukiwa hapo huwa kinatokea nini?. Wengi nasikia sit ya mbele. Huwa ni nini maajabu yake?front seat melo
Ninaamini , Muonekano Utakuwa Bora.Wakuu,
Tupo kwenye hatua za mwisho kuja na JF yenye mwonekano mpya ambayo inaendana na mabadiliko ya teknolojia. Kwa wanaohitaji kuwa sehemu ya majaribio, mnakaribishwa...
Katika mabadiliko haya, huenda ukakutana na kitu kikakufurahisha, kikakuchanganya, kikakufanya uone kuna haja ya kuongeza au kupunguza n.k - usisite kutujulisha kupitia uzi huu.
Thread hii itatumika kukusanya maoni yenu na yatazingatiwa ajili ya kujenga sehemu bora na salama zaidi kwa ajili ya kila mmoja wetu.
Kwa wale watumiaji wa App, tunashauri kujaribu App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi kwani itaendana vema zaidi na kinachokuja.
Tunawashukuru kwa ushirikiano mnaotupa kila mara kwani hadi toleo hili ni tokana na maoni yenu.
Kutakuwa na features kadhaa hazitakuwa released mapema hadi zikamilike kufanyiwa testing ndipo ziwe applied.
Tunawapenda, tunawajali na tunaahidi kuendelea kutoa huduma bora.
Asanteni sana!
Baada ya kurefresh kuna mabadiriko but didn't see kwenye App.How about now? Refresh 😎
Maxence Melo, hivi punde nimetoka kumalizia stori ya sina akili. Hivyo napendekeza kuwe na jukwaa la story za maisha ya watu kwa sababu zinajenga sana.
Kuna story fulani ya jamaa alikuwa kwenye harakati za kusaka mali, akafikia hatua anatembea porini huko anakutana na wasakaji wengine wamekufa yaani kama ile season ya a walking dead. Sasa ile story kama kungekuwa na jukwaa mahsusi ningeipata tu, lakini kwa vile jukwaa halipo ndio basi tena.
Kikubwa kuwe na mwongozo, aliyeanzisha stori lazima aimalize.
Wamekunini mtani.Mond please ishi maisha yako! that's the best I can tell you! Usijaribu kulinganisha tafadhali.. Utaishia kuumia tuu, utalinganisha vingapi kwenye maisha? Never mind about JF for a moment then njoo kwenye real life.. Unaweza kujikuta you are a public enemy!
The most important person in life is YOU! yourself! The rest are beyond your control! Be YOU! Utaishi kwa amani na furaha sana . halafu iachie hadhira ikuhukumu..kukupenda ama kukuchukia but you must remain to be you! Hutopendwa na wote hutachukiwa na wote . Ila popote utakapokuwa jitahidi kufuata kanuni na sheria.. Jitahidi mno kufuata kitu kinaitwa T&C
Hili lakutafutia watu kazi aka connection ni zuri sana! Naomba like yako tu,na moyo wangu utapona!Mhhhhh... Nadhani tufikirie nje ya box. Tunaweza tengeneza solution ya kusaidia graduates kupata kazi na kuwaunganisha na wenye uhitaji wa watu wa fields husika.
Unalionaje pendekezo hili?
Hilo limejaa busara na weledi. Msiishie kwa undergraduate tu nakuendeleaMhhhhh... Nadhani tufikirie nje ya box. Tunaweza tengeneza solution ya kusaidia graduates kupata kazi na kuwaunganisha na wenye uhitaji wa watu wa fields husika.
Unalionaje pendekezo hili?
Akikujibu nitag mkuuMkuu Maxence Melo Mshana Jr na wakuu wengine wote.
Naombeni mniambie jamii forums inapatikana free basics ya mtandao gani?? Nimejaribu Halotel lakini haifunguki