Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

Mkuu mello ningeshauri sana kuwepo na jukwaa la sayansi na teknolojia za watanzania ili tushee kuona na kuvumbua vipaji mbalimbali ambavyo havisikiki popote na yeyote
 
Maxence Melo tunaomba utuwekee jukwaa rasmi la Diet, Nutrition na Physical Exercises, kuna Trainers wazuri wa mazoezi ya viungo humu watakuwa wanatuelekeza.

Hili ni muhimu pia. Halafu Mara nyingine kuna tatizo la Ku upload (kupakia) picha humu, ukipakia picha zaidi ya moja inafika moja tu zingine zinakuwa hidden.
 
Mond please ishi maisha yako! that's the best I can tell you! Usijaribu kulinganisha tafadhali.. Utaishia kuumia tuu, utalinganisha vingapi kwenye maisha? Never mind about JF for a moment then njoo kwenye real life.. Unaweza kujikuta you are a public enemy!

The most important person in life is YOU! yourself! The rest are beyond your control! Be YOU! Utaishi kwa amani na furaha sana . halafu iachie hadhira ikuhukumu..kukupenda ama kukuchukia but you must remain to be you! Hutopendwa na wote hutachukiwa na wote . Ila popote utakapokuwa jitahidi kufuata kanuni na sheria.. Jitahidi mno kufuata kitu kinaitwa T&C
well said mkongwe
 
Hili jukwaa litakuwa zuri sana.
 
Maxence Melo, hivi punde nimetoka kumalizia stori ya sina akili. Hivyo napendekeza kuwe na jukwaa la story za maisha ya watu kwa sababu zinajenga sana.

Kuna story fulani ya jamaa alikuwa kwenye harakati za kusaka mali, akafikia hatua anatembea porini huko anakutana na wasakaji wengine wamekufa yaani kama ile season ya a walking dead. Sasa ile story kama kungekuwa na jukwaa mahsusi ningeipata tu, lakini kwa vile jukwaa halipo ndio basi tena.

Kikubwa kuwe na mwongozo, aliyeanzisha stori lazima aimalize.
 
Maxence Melo

Mkuu.. Mtu anapo quote message, hata unapo edit message mama ile editing hafinayiki kwenye sehemu ambayo mtu ame quote hiyo haijakaa sawa na hata akifuta message alie quote inabaki kuwepo
 
Wakuu,

Tupo kwenye hatua za mwisho kuja na JF yenye mwonekano mpya ambayo inaendana na mabadiliko ya teknolojia. Kwa wanaohitaji kuwa sehemu ya majaribio, mnakaribishwa...

Katika mabadiliko haya, huenda ukakutana na kitu kikakufurahisha, kikakuchanganya, kikakufanya uone kuna haja ya kuongeza au kupunguza n.k - usisite kutujulisha kupitia uzi huu.

Thread hii itatumika kukusanya maoni yenu na yatazingatiwa ajili ya kujenga sehemu bora na salama zaidi kwa ajili ya kila mmoja wetu.

Kwa wale watumiaji wa App, tunashauri kujaribu App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi kwani itaendana vema zaidi na kinachokuja.

Tunawashukuru kwa ushirikiano mnaotupa kila mara kwani hadi toleo hili ni tokana na maoni yenu.

Kutakuwa na features kadhaa hazitakuwa released mapema hadi zikamilike kufanyiwa testing ndipo ziwe applied.

Tunawapenda, tunawajali na tunaahidi kuendelea kutoa huduma bora.

Asanteni sana!
Ninaamini , Muonekano Utakuwa Bora.
 
Mkuu mim maoni yangu kuna watu humu wanaanzsha episode/Simulizi zao alafu wanaishia njian kisa tu wameambiw chai au vyovyote anaamua kuzila watu kama Hawa muwe munawapga ban totally......Ahsante....naomba support wakuu kwe hili ikiwemo likes nying uwe ujumbe tisha KWA Melo
 
Maxence Melo, hivi punde nimetoka kumalizia stori ya sina akili. Hivyo napendekeza kuwe na jukwaa la story za maisha ya watu kwa sababu zinajenga sana.

Kuna story fulani ya jamaa alikuwa kwenye harakati za kusaka mali, akafikia hatua anatembea porini huko anakutana na wasakaji wengine wamekufa yaani kama ile season ya a walking dead. Sasa ile story kama kungekuwa na jukwaa mahsusi ningeipata tu, lakini kwa vile jukwaa halipo ndio basi tena.

Kikubwa kuwe na mwongozo, aliyeanzisha stori lazima aimalize.

Inaitwaje?
 
Tafuta namna ya kuwa na "tool" ya kupima umri na uelewa wa mtu kabla hajajiunga...jukwaa limepoteza michango na mada za watu wenye akili baada utoto kuwa mwingii, sasa hivi "uchawa" na masifu ya kijinga pia yamekuwa Keri.
 
Mond please ishi maisha yako! that's the best I can tell you! Usijaribu kulinganisha tafadhali.. Utaishia kuumia tuu, utalinganisha vingapi kwenye maisha? Never mind about JF for a moment then njoo kwenye real life.. Unaweza kujikuta you are a public enemy!

The most important person in life is YOU! yourself! The rest are beyond your control! Be YOU! Utaishi kwa amani na furaha sana . halafu iachie hadhira ikuhukumu..kukupenda ama kukuchukia but you must remain to be you! Hutopendwa na wote hutachukiwa na wote . Ila popote utakapokuwa jitahidi kufuata kanuni na sheria.. Jitahidi mno kufuata kitu kinaitwa T&C
Wamekunini mtani.
 
Mhhhhh... Nadhani tufikirie nje ya box. Tunaweza tengeneza solution ya kusaidia graduates kupata kazi na kuwaunganisha na wenye uhitaji wa watu wa fields husika.

Unalionaje pendekezo hili?
Hili lakutafutia watu kazi aka connection ni zuri sana! Naomba like yako tu,na moyo wangu utapona!

Pia wale wachangiaji wakorofi wawe wanakula adhabu ngumu na kali,mtu mwenye multiple IDs pia aweze kujulikana mara moja
 
Hii yenu Mpya ina ugumu mwingi sana, nimejaribu nimeiondoa nikaenda pakua hii niliyozoea kutoa PLAY STORE tu. Yaan Nashauri muiboreshe hii ya kwenye Play store iwe muonekano ule. Thread unashuka nayo afu uanze tena kurequest next page?? No
 
Back
Top Bottom