Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikitoka tuwekee na tutorial thread ili iwe mwalimu wetu. Asante sana.Wakuu,
Tupo kwenye hatua za mwisho kuja na JF yenye mwonekano mpya ambayo inaendana na mabadiliko ya teknolojia. Kwa wanaohitaji kuwa sehemu ya majaribio, mnakaribishwa...
Katika mabadiliko haya, huenda ukakutana na kitu kikakufurahisha, kikakuchanganya, kikakufanya uone kuna haja ya kuongeza au kupunguza n.k - usisite kutujulisha kupitia uzi huu.
Thread hii itatumika kukusanya maoni yenu na yatazingatiwa ajili ya kujenga sehemu bora na salama zaidi kwa ajili ya kila mmoja wetu.
Kwa wale watumiaji wa App, tunashauri kujaribu App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi kwani itaendana vema zaidi na kinachokuja.
Tunawashukuru kwa ushirikiano mnaotupa kila mara kwani hadi toleo hili ni tokana na maoni yenu.
Kutakuwa na features kadhaa hazitakuwa released mapema hadi zikamilike kufanyiwa testing ndipo ziwe applied.
Tunawapenda, tunawajali na tunaahidi kuendelea kutoa huduma bora.
Asanteni sana!
Hahaha, sawa mkuuIkitoka tuwekee na tutorial thread ili iwe mwalimu wetu. Asante sana.
Kwenye APP unatusahau jaman, tunataka App iwe na fixtures nzuri, muonekano wa PM, na video kufunguka.Hahaha, sawa mkuu
Ni phase inayofuata kuanzia sasa. Sema hapatakuwa na tofauti na web mpya.Kwenye APP unatusahau jaman, tunataka App iwe na fixtures nzuri, muonekano wa PM, na video kufunguka.
Please Mr Tufanyie maboresho.
Ahsante, ila maboresho ni muhimu. Tunasubiri.Ni phase inayofuata kuanzia sasa. Sema hapatakuwa na tofauti na web mpya.
App ni kama wameachana nayo...Mimi naomba yafanyike maboresho kwenye App,kuna wakati mtu anaweka attachment ila kwakutumia App unashindwa kuzifungua mpaka utumie browser. Nawasilisha.
Browser sijawahi kuielewa, mambo ya hovyo, unascroll down kisha unaclick next page kupata mwendelezo wa thread hadi kero, mzigo wa App unashuka nao bila kujua uko page ya ngapi.Sito tumia app. mpk iwe na mambo ya kueleweka kama haya na vengine vingi !!!
Hamieni huku kwenye browser kumenoga.
Pia ongezeeni attachment hakuna sehemu ya audio nakosa kumwaga sela zangu kwa nyimbo za kihindi vizuri.
Tangu wamefanya maboresho naona kama JF kupitia Freebasics imekuwa slow sana, au ww unaionaje.?Kwaiyo sasa tunatumia Freebacics hii jf mpya ata sijaelewa kwanza maandishi makubwa Sana inapunguza mvuto wa kuyasoma, pili huwezi kuona mods ambao wako online working kwa siku hiyo

Hii imekuwa resolved katika changes za sasa. Angalia kuthibitisha.Browser sijawahi kuielewa, mambo ya hovyo, unascroll down kisha unaclick next page kupata mwendelezo wa thread hadi kero, mzigo wa App unashuka nao bila kujua uko page ya ngapi.