Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

Shughulika na tatizo la notifications kwanza ndiyo uhamie kwenye muonekano mpya.
Imejen toka mwaka jana ninaomba msaada wa tatizo la notifications ila hadi leo hakuna ufumbuzi.
 
Wakuu,

Tupo kwenye hatua za mwisho kuja na JF yenye mwonekano mpya ambayo inaendana na mabadiliko ya teknolojia. Kwa wanaohitaji kuwa sehemu ya majaribio, mnakaribishwa...

Katika mabadiliko haya, huenda ukakutana na kitu kikakufurahisha, kikakuchanganya, kikakufanya uone kuna haja ya kuongeza au kupunguza n.k - usisite kutujulisha kupitia uzi huu.

Thread hii itatumika kukusanya maoni yenu na yatazingatiwa ajili ya kujenga sehemu bora na salama zaidi kwa ajili ya kila mmoja wetu.

Kwa wale watumiaji wa App, tunashauri kujaribu App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi kwani itaendana vema zaidi na kinachokuja.

Tunawashukuru kwa ushirikiano mnaotupa kila mara kwani hadi toleo hili ni tokana na maoni yenu.

Kutakuwa na features kadhaa hazitakuwa released mapema hadi zikamilike kufanyiwa testing ndipo ziwe applied.

Tunawapenda, tunawajali na tunaahidi kuendelea kutoa huduma bora.

Asanteni sana!
Ikitoka tuwekee na tutorial thread ili iwe mwalimu wetu. Asante sana.
 
Mimi naomba yafanyike maboresho kwenye App,kuna wakati mtu anaweka attachment ila kwakutumia App unashindwa kuzifungua mpaka utumie browser. Nawasilisha.
 
Kwenye mabadiliko kuna swali nimeuliza lkn sijajibiwa,sielew inakuwaje apo
 
Sito tumia app. mpk iwe na mambo ya kueleweka kama haya na vengine vingi !!!

Hamieni huku kwenye browser kumenoga.

Pia ongezeeni attachment hakuna sehemu ya audio nakosa kumwaga sela zangu kwa nyimbo za kihindi vizuri.
 
Maxence Melo Moja kubwa kuliko yote ili nitumie App badala ya browser; tafadhali ongeza feature katika App tuweze kufungua multiple threads kwa wakati mmoja(open in new tab) kama browser.

Hii itawezesha member au yoyote kufungua thread hata 10 zinazokuvutia kusoma na ukishafungua unaweza kuzima data na kuendelea kusoma.

Pia inaepusha kufungua thread moja, unasoma, unarudi, tafuta nyingine, soma kisha rudi....☹☹
 
Sito tumia app. mpk iwe na mambo ya kueleweka kama haya na vengine vingi !!!

Hamieni huku kwenye browser kumenoga.

Pia ongezeeni attachment hakuna sehemu ya audio nakosa kumwaga sela zangu kwa nyimbo za kihindi vizuri.
Browser sijawahi kuielewa, mambo ya hovyo, unascroll down kisha unaclick next page kupata mwendelezo wa thread hadi kero, mzigo wa App unashuka nao bila kujua uko page ya ngapi.
 
Kwaiyo sasa tunatumia Freebacics hii jf mpya ata sijaelewa kwanza maandishi makubwa Sana inapunguza mvuto wa kuyasoma, pili huwezi kuona mods ambao wako online working kwa siku hiyo
Tangu wamefanya maboresho naona kama JF kupitia Freebasics imekuwa slow sana, au ww unaionaje.?
 
Najua Kuna jukwaa la biashara nyuzi mbalimbali za connection za biashara ila nashauru lifunguliwe jukwaa la soko la kariakoo liwe linajitegemea Yani umo kuwe na bidhaa za Kila aina kama ilivyo kwenye physical kariakoo
 
Browser sijawahi kuielewa, mambo ya hovyo, unascroll down kisha unaclick next page kupata mwendelezo wa thread hadi kero, mzigo wa App unashuka nao bila kujua uko page ya ngapi.
Hii imekuwa resolved katika changes za sasa. Angalia kuthibitisha.

Karibu
 
Back
Top Bottom