Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imani yangu watayasikiliza maoni ya watumiaji maana wengi muonekano huu haujawapendeza.Huu mfumo mpya sijauelewa kabisa TRENDING na NEW POST uki VIEW MORE; ndo mwisho au mie ndo sijaelewa. Zama zile ilikuwa unaweza kufungua new post mpaka page ya 25. Inanikata stimu kweli kweli inanilazimisha niingie kwenye majukwaa moja moja wakati nilikuwa naweza kuingia kwenye new post na kusoma majukwaa mbalimbali au mie ndo sijaelewa huu mfumo mpya. .
Hapa yenyewe nahangaika kutafuta my past thread, aisee huu mfumo bado haujanikaa vizuri kabisa. Tupeni somo Maxence Melo sielewi elew. Maoni yangu mfumo wa kwanza ulikuwa vizuri sana huu uko very boaring. Maandishi yapo makubwa sana kero kweli
Wengine hatupendi notifications, huwa tunaweka off kabisaKwangu notifications zenyewe hazikuji,
Watu awaitaki ii new interface si mtusikilize wateja wenu au na ili ni swala la katiba mpyaWakuu,
Tupo kwenye hatua za mwisho kuja na JF yenye mwonekano mpya ambayo inaendana na mabadiliko ya teknolojia. Kwa wanaohitaji kuwa sehemu ya majaribio, mnakaribishwa...
Katika mabadiliko haya, huenda ukakutana na kitu kikakufurahisha, kikakuchanganya, kikakufanya uone kuna haja ya kuongeza au kupunguza n.k - usisite kutujulisha kupitia uzi huu.
Thread hii itatumika kukusanya maoni yenu na yatazingatiwa ajili ya kujenga sehemu bora na salama zaidi kwa ajili ya kila mmoja wetu.
Kwa wale watumiaji wa App, tunashauri kujaribu App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi kwani itaendana vema zaidi na kinachokuja.
Tunawashukuru kwa ushirikiano mnaotupa kila mara kwani hadi toleo hili ni tokana na maoni yenu.
Kutakuwa na features kadhaa hazitakuwa released mapema hadi zikamilike kufanyiwa testing ndipo ziwe applied.
Tunawapenda, tunawajali na tunaahidi kuendelea kutoa huduma bora.
Asanteni sana!
===== UPDATES======
Changes on the new version:
1) Kuna urahisi wa kufichua mambo mazito bila data zako zozote kuchukuliwa na bila post kwenda public kwanza (utaona button ya Fichua Uovu). Hii itasaidia hata wasio wanachama (baadae) kushiriki kikamilifu kupinga ufisadi na rushwa kwa ujumla.
2) Faragha ya mwanachama imelindwa zaidi, hakuna wa kujua wewe ni nani on JF bila wewe kumpa access ya kifaa chako (simu, tablet au pc). Tulipata vilio vya watu kuchunguliwa IDs tukaja na suluhu.
3) Unaweza kuchagua kutumia JF ikiwa light version, dark mode au dark blue mode (my favorite).
4) Maandishi ya sasa yanasomeka kirahisi zaidi na wenzetu wenye uoni hafifu. Wasioona kabisa lakini wana vifaa vya kusomea wataweza kuitumia JF kwa urahisi zaidi.
5) Soon kuna mambo mapya yanaanza kufanyika via JF, mabadiliko haya yamelenga kupokea yajayo kuanzia mwezi huu na kuendelea.
6) Ukiwa kwenye forum yoyote, huhitaji kubonyeza Page 2, Page 3, Page 4. Wewe vuta kwenda chini tu, mada zitakuja (scroll down).
Nitaendelea…
Nilitaka kuandika hili. Warekebishe maana ni kero mno kuscroll just for titles. Maxence MeloMuonekano mpya si rafiki, Muonekano wa awali uliniwezesha kupata heading nyingi kwenye screen ya simu yangu.
Hakukuwa na usumbufu wa ku scroll ili kusoma headings nyingine kama ilivyo sasa.
Maoni yangu kwanza tukubali mabadiliko pili tuyafanyie marekebisho changamoto iliyojitokeza mwisho tusonge mbeleNilitaka kuandika hili. Warekebishe maana ni kero mno kuscroll just for titles. Maxence Melo
Wazee wa silence 🔕Hivyo mtoto mzuri kama Depal akinitag nisijue jamani.??
Imebidi niweke dark blue theme maana ule mwanga unawaka kama mishumaa ya Pasaka.!!Me zinakuja.. ila mambo magumu
Trending news kuna font hapa na Karatu..
Navyopenda kushuhudia miujiza, siwezi akii'..!!Wazee wa silence 🔕
Nimekereka