Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hata wakiipitisha , wakiondolewa tutaifuta na kuwakamata waliotenda makosa , hivi Ndugai unaachaje kumsweka jela ? hata shetani atatushangaa !Madikteta yamekutana yanapanga kujilinda kwa namna yoyote ile.
Tls ni tawi la ccm!Tunakoelekea ni kubaya sana
Welcome home (Isaga) MalafyaleMbombo ngafu mwarafyale...!!
Huyu Rais Magufuli ana vimelea vya Kudikteta kwa 100%%
Huyu mtu anaharibu kabisa Tanzania yetu....!!!But God is watching from a distance!!
Sio watanzania wote wanavyama wapo wasio na vyama na sio kila kinachopingwa ni Chadema hata sisi tusio na Vyama wenye akili tunapingaChadema kila siku wanalalamikia mabadiriko sasa yakija wanayakataa kwani hayo siyo mabadiliko?
Maoni ya katiba mpya ya wananchi CCM iliyakataa, badala yake CCM ikawasilisha mapendekezo yake ili yapitishwe.Wapinzani wasingesusia bunge la katiba huenda tungekuwa na katiba mpya!
Unavyoongea kwa kurembua huku umebinua kichuguu kwa raha zako mwenyewe ukiwa katikati ya jiji la mombassa ukinyweshwa sharubati ya ute wa mayai mabichiWapinzani wasingesusia bunge la katiba huenda tungekuwa na katiba mpya!
Keshagundua mambo magumu ndo maana yale walokuwa wanayafanya sirini sasa hadharani na yanatungiwa sheria halafu wabunge wa ccm wataipitisha kwa mbwembwe halafu hawateuliwi kugombea mwisho sheria waloipitisha kuwatafuna.Jiwe ameshanusa kuwa October hatoboi,kuanzia chamani mpaka ground hapo October
We ni kiazi kupindukiaHapo kabla walikuwa wanafunguliwa kesi?