Mabadiliko ya uke baada ya kujifungua

Mabadiliko ya uke baada ya kujifungua

Mkuu asante... Yy ndo aliyefungua njia
Huwa nawahasa sana dada zangu/marafiki zangu wa kike wawe makini sana na mtu anaezaa nae na hasa kama ndio aliyeko kwenye mipango yako ya kuwa mume.

Usimkubalie mtu kisa tu umemuona yeye ni hensamu.
 
Kegel ni zoezi tosha usiwe na wasiwasi jipe muda utabana kuliko mwanzo. Mwanamke akizaa mara mbili au zaidi ndy uke unakuwa sawa. Lkn inachukua miezi mingi kurudi ktk hali yake. Usiweke madawa au kujaribu sijui njia zozote zisizo faa utaharibu mwilo wako tu.
Shukrani mkuu
 
Kuna uzi humu ndani umeeleza hizo mambo kwa maana ya njia za kurudisha uke kwnye hali yake, utafuta kwnye jukwaa la afya na istoshe Nenda Kairuki Hospital kama upo dar uonane na wataalamu au kama mkoani ni vyema ukaattend hospital za wilaya kwa msaada
Asante
Asante mkuu
 
Huwa nawahasa sana dada zangu/marafiki zangu wa kike wawe makini sana na mtu anaezaa nae na hasa kama ndio aliyeko kwenye mipango yako ya kuwa mume.

Usimkubalie mtu kisa tu umemuona yeye ni hensamu.
Moyo Wa MTU kichaka kikubwa jamani
 
Yakipanuka sana, kiustaarabu huyo mpenzi wako anatakiwa aijaze! Kwa sisi wazoefu hilo ni swala dogo sanaaaaa! Hamna uke mdogo wala mpana bali ni jinsi jemedari anavyoingia kazini... Mtu wako kachemsha na kibamia chake... Chepuka..
Mhimhhhhhhh daaah jf in kiboki ya stress
 
Asanteni wanajf... Nimekuwa nikifuatilia comnents kwa utulivu sana.. Asantenu mungu awabariki
 
Hapa kila wazo la mbongo utapata maana hawa jamaa kwa ngono khaaaaaa
 
Wana jf
Habari za jumapili.
Nimejifungua mtoto Wa pili miezi 6 iliyopita! Kuna uwezekani wa uke kuendelea kubana hata baada ya kujifungua..

Ninajitahidi sana sana kufanya kegel exercises kila mara.
Nitajuaje kuwa uke wangu sasa umeanza kubana kama awali..

Naombeni msinibeze Bali mnifahamishe namna nzuri ya kudeal na maumbile haya mapya...

Nina uchungu sana shemeji yenu alikuwa akinipenda na kunisifia sana kabla ya mtoto Wa pili,, now days ni michepuko hadi nakoma so nahisi ni sababu ya maumbile ya k yamepanuka sana!

Jitahidi sana kutafuta chupa ile ya Bia kisha hakikisha kila siku kuanzia Kesho asubuhi uwe unaiingiza yote kunako ' Mbunye ' halafu unaitoa na ukifanya hivyo ndani ya siku saba ( 7 ) tu mfululizo ' Mbunye ' yako itarudi katika mwonekano wake wa Kiushirikiano kwa Mumeo. Kila la kheri katika zoezi Mkuu na usisite kunipa mrejesho wake tafadhali.
 
kama mmeo alikuoa kwa sababu ya uzuri/urembo lazima atakuchoka tuu
ila kama alikua na mapenzi ya dhati kwako hatochepuka na atakupenda,la kukushauri ni hili,usifakamie sana misosi maana mavitambi yanaboa,kuhusu swala la kupanuka uchi mama hebu tulia kwanza
 
Moyo Wa MTU kichaka kikubwa jamani
Eti ehee!!? Lakini angalia sana majuto ni mjukuu.
d7e3d204219c8be8ec7b252b733966df.jpg
 
Uzazi una mengi mama yangu, embrace the changes because you brought a beautiful human being to the world

Fanyia kazi mwili wako, miezi 6 mtoto amekuwa kabsa, Fanya mazoezi tofauti yatakayokusaidia kukaza misuli, get that sexy body back so that your husband can't take his eyes off you
 
Back
Top Bottom