Ha jamani loooooooo....ajabu sanaView attachment 493386
Hiyo hapo.....
Mkuuu naumia sana kukabiliana na hili suala...duuuuInaonekana shemeji aliipenda hiyo naniii basi, ila wewe hakukupenda
Huwa nawahasa sana dada zangu/marafiki zangu wa kike wawe makini sana na mtu anaezaa nae na hasa kama ndio aliyeko kwenye mipango yako ya kuwa mume.Mkuu asante... Yy ndo aliyefungua njia
Shukrani mkuuKegel ni zoezi tosha usiwe na wasiwasi jipe muda utabana kuliko mwanzo. Mwanamke akizaa mara mbili au zaidi ndy uke unakuwa sawa. Lkn inachukua miezi mingi kurudi ktk hali yake. Usiweke madawa au kujaribu sijui njia zozote zisizo faa utaharibu mwilo wako tu.
Asante mkuuKuna uzi humu ndani umeeleza hizo mambo kwa maana ya njia za kurudisha uke kwnye hali yake, utafuta kwnye jukwaa la afya na istoshe Nenda Kairuki Hospital kama upo dar uonane na wataalamu au kama mkoani ni vyema ukaattend hospital za wilaya kwa msaada
Asante
Moyo Wa MTU kichaka kikubwa jamaniHuwa nawahasa sana dada zangu/marafiki zangu wa kike wawe makini sana na mtu anaezaa nae na hasa kama ndio aliyeko kwenye mipango yako ya kuwa mume.
Usimkubalie mtu kisa tu umemuona yeye ni hensamu.
Duuuuu!!! Kazi sana[emoji24] [emoji24] [emoji24]Kama anayakata anakosea lakini sio sir baada kuzaa wanawake ladha hupungua k huregea bana inakua haina mvuto ndio mana tunatafuta za kubana zina raha sanaa[emoji2]
AsanteniKama ulishonwa hebu nenda kwa gyno kacheki kama pako poa...
Ila kama mwanaume muhuni hawezi kukosa sababu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Duuuuu!!! Kazi sana[emoji24] [emoji24] [emoji24]
Mhimhhhhhhh daaah jf in kiboki ya stressYakipanuka sana, kiustaarabu huyo mpenzi wako anatakiwa aijaze! Kwa sisi wazoefu hilo ni swala dogo sanaaaaa! Hamna uke mdogo wala mpana bali ni jinsi jemedari anavyoingia kazini... Mtu wako kachemsha na kibamia chake... Chepuka..
Usiwe stress wala usiruhusu itawale nafsi yako.. Ukiruhusu hiyo hali inaonyesha udhaifu.. Usikubali kuwa dhaifu.Mhimhhhhhhh daaah jf in kiboki ya stress
Wana jf
Habari za jumapili.
Nimejifungua mtoto Wa pili miezi 6 iliyopita! Kuna uwezekani wa uke kuendelea kubana hata baada ya kujifungua..
Ninajitahidi sana sana kufanya kegel exercises kila mara.
Nitajuaje kuwa uke wangu sasa umeanza kubana kama awali..
Naombeni msinibeze Bali mnifahamishe namna nzuri ya kudeal na maumbile haya mapya...
Nina uchungu sana shemeji yenu alikuwa akinipenda na kunisifia sana kabla ya mtoto Wa pili,, now days ni michepuko hadi nakoma so nahisi ni sababu ya maumbile ya k yamepanuka sana!
Eti ehee!!? Lakini angalia sana majuto ni mjukuu.Moyo Wa MTU kichaka kikubwa jamani