Mabadiliko ya vifurushi kuanza tarehe 02/04/2021

hapo kwako inaonesha umechagua internet ya mwezi

rudi kwenye home interface kabla ujachagua kifurushi

bonyeza neno vifurush

kisha shuka mpaka chini utanaona usiku pack
Asante kwa maelekezo,ndo nmejiunga hapa ngoja nshushe vitu
 
Jamani mbona mie hawajaweka hicho Usiku pack?
 
Aisee. Nikajua ni mie binafsi.
Mkuu hii usiku pack kwa mitandao yote wamegoma kurudisha. Ila ttcl kipo lakini mtandao unashindwa kabisa kuconnect internet yaani mtandao uko chali mlalo wa kifo cha mende
 
Vp kuhusu royal bando gb 7 zile zikiisha bando unaweza kuingia mtandaoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…