Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,364
- 12,456
😅😅😅 Unatumia mtandao gani?Mambo yameharibika tayari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅😅 Unatumia mtandao gani?Mambo yameharibika tayari
Serikali inakusanya pesa nyingi mno kwa kupitia mitandao ya simu na kamwe hakuna malalamiko ya wananchi kuhusu mitandao ya simu yanayoweza kueleweka hata washitakiwe mahakama gani.Ebu ingia kwenye code za vifurushi uone bei mpya , Yaani kumbe Aliongeza ili akomoe raia
Dah
Maendeleo hayana chama
usikariri
Kuna watu wapumbavu huku jamiiforums kama huna cha comment au kushaur si ukae kimya tu mnazingua kuna mjinga mmoja namwangalia tuEbu ingia kwenye code za vifurushi uone bei mpya , Yaani kumbe Aliongeza ili akomoe raia
Dah
Maendeleo hayana chama
Habari mkuu, Bandwidth ni nini?Wamepunguza bandwidth
halotel😅😅😅 Unatumia mtandao gani?
Ni bora wasifuate kauli yake, hivi ulijaribu kufanya hesabu ya alichosema? Kwa bei elekezi yake utakuwa unanunua vifurushi kwa bei zaidi kuliko hivi sasa.Ninachokiona kwa halotel ni kupanda kwa bei za vifurushi kinyume na maelezo ya waziri ambae alituambia bei za vifurushi zitashuka kuazia trh 1 mwezi 4.
binafsi Sijaona Faida Ya Serikali Kukutana Na Makapuni Ya Simu maana Baada Ya Gharama kushuka ila Imekua ni Kinyume Chake Kwa Mteja.
Mkuu 3000 tuSitashangaa 1Gb kwa 2000Tsh
Nami nimeliwaza hilo sanaHatukomeshwi kweli..?
Duh, jana nimefanya la maana sana kujiunga royal kabla ya mabadiliko. Tofauti ni kubwa sana[emoji410][emoji410][emoji675][emoji675]
Halotel Royal Package (mwezi)
Before and After
15GB's to[emoji675]8.5GB'sView attachment 1740071View attachment 1740072