Mabadiliko ya vifurushi kuanza tarehe 02/04/2021

Mabadiliko ya vifurushi kuanza tarehe 02/04/2021

Ebu ingia kwenye code za vifurushi uone bei mpya , Yaani kumbe Aliongeza ili akomoe raia
Dah
Maendeleo hayana chama
Serikali inakusanya pesa nyingi mno kwa kupitia mitandao ya simu na kamwe hakuna malalamiko ya wananchi kuhusu mitandao ya simu yanayoweza kueleweka hata washitakiwe mahakama gani.

Ccm ni hovyo bin hovyo kwa kutesa wananchi.Viongozi ccm kutwa kucha wanashinda kutengeneza matatizo ambayo wakija kutatua inaonekana wamefanya jipya.

Tatizo la umeme ni wao kukatakata halafu utasikia waziri eti anafoka na kudai tatizo limeisha na watu wanaingia kwa barabara kupongeza.Ujinga mno.

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
usikariri
Screenshot_20210401-064456.jpg
 
Ebu ingia kwenye code za vifurushi uone bei mpya , Yaani kumbe Aliongeza ili akomoe raia
Dah
Maendeleo hayana chama
Kuna watu wapumbavu huku jamiiforums kama huna cha comment au kushaur si ukae kimya tu mnazingua kuna mjinga mmoja namwangalia tu
 
Tunadanganywa leo Ni siku ya wajinga duniani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tuseme sisi ndiyo tulikuwa tunawanyonya au?🚶🚶
 
Tuandamane ili wajue tunaumia na sio kuonesha maneno mtandaoni ambako wameisha pazoea kupita na kupapuuza
 
Ninachokiona kwa halotel ni kupanda kwa bei za vifurushi kinyume na maelezo ya waziri ambae alituambia bei za vifurushi zitashuka kuazia trh 1 mwezi 4.
binafsi Sijaona Faida Ya Serikali Kukutana Na Makapuni Ya Simu maana Baada Ya Gharama kushuka ila Imekua ni Kinyume Chake Kwa Mteja.
Ni bora wasifuate kauli yake, hivi ulijaribu kufanya hesabu ya alichosema? Kwa bei elekezi yake utakuwa unanunua vifurushi kwa bei zaidi kuliko hivi sasa.
 
Katika eneo tunaibiwa ni hili la vifurushi...

Unanunua kifurushi GB 2 hazikati muda mfupi tu zinaishaa...
 
Hivi kweli hii mitandao yaani in aondoa vifurushi vya maana inaweka uchafu tu MB zimepunguzwa hata nusu yake tu hakuna yaan kifurushi cha wiki kunakuwa kama vile cha 24hrs.
 
Back
Top Bottom