Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Halotel wameshapiga pini tayari.GB 4.4 kwa Tsh 10,000.Nilisema hapa kuwa hii wizara mpya imeletwa kunyonga Watanzania nikabezwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi narudi voda rasmi... 3000 gb 3 haloteli 3000 gb 1? Ujinga huu
Wahuni sio Voda wala operators. Maagizo ya mwisho kupandisha bei ya vifurushi mpaka beei za kijinga kabisa yalikuwa triggered kukubaliwa na serikaliVoda wahuni sana.
Ndio maana tukaitwa WANYONGE alikuwa amaanishi WANYONGE ya nomino bali alimaanisha kitenziHalotel wameshapiga pini tayari.GB 4.4 kwa Tsh 10,000.Nilisema hapa kuwa hii wizara mpya imeletwa kunyonga Watanzania nikabezwa!
Kumbe mnyonge maana yake ni mbumbumbu![emoji1][emoji1][emoji1]Ndio maana tukaitwa WANYONGE alikuwa amaanishi WANYONGE ya nomino bali alimaanisha kitenzi
Tushakomeshwa sana.Hatukomeshwi kweli..?
Wajinga sana hawahalotel
Mweeeehh!!! Kama ni hivyo hawa gb1 watafanya tsh 4000Voda wametangaza mabadiliko yao kesho.
Mbona haeleweki.. mara sh elf 2 - 9 kwa Mb 1 mara Bei hiyo hiyo kwa Gb 1, as if 1Mb = 1Gb😮
Mkuu mimi nimepata plan B kama unayo line ya chuo piga *148*55# kuna kifurushi cha 1500 gb 1 na nusu ila hizo mb 500 ni kwa YouTube pekeeKile kifurushi cha halopesa ndio wameamua kukifanya vile kweli?
Inasikitisha sana kwa kweli
Sahv wote utawaona wajinga tuWajinga sana hawa
mimi ichi cha chuo kinasema, 800MB kwa 1500/-,Mkuu mimi nimepata plan B kama unayo line ya chuo piga *148*55# kuna kifurushi cha 1500 gb 1 na nusu ila hizo mb 500 ni kwa YouTube pekee