Mabadiliko ya vifurushi kuanza tarehe 02/04/2021

Mabadiliko ya vifurushi kuanza tarehe 02/04/2021

Viongozi wa afrika wengi hawana muda na kufanya maisha yenu yawe mepesi bali wao na familia zao na circle yao. Ukiona kafanya jema jua kalifanya kwasababu anataka kura yako
Wananchi nao ndio tumewaendekeza
 
Nchi imejaa wahuni tupu,hasa hasa hii mitandao ya simu.

Kila mmoja anachagua ajipigie je,leo wakiamua wapige mande wanapiga kesho wakiamua wanajisi wananajisi yaani alimradi uhuru wanao.

Ujinga tu na tumeshikika kweli kweli maana zama hizi utaishije bila simu?bila bundle utapataje taarifa?yale mambo ya kukaa kusikiliza radio au tv hayapo tena maisha ni mbio mbio habari tunazipata kwenye simu nao hawa wapumbavu wanatembea humo humo kutukandamiza.
 
Sasa tupo serikali mpya ya awam ya sita, nadhani serikali yetu mpya chini ya rais wetu mpendwa lazma watapitia kwa upya swala hili.
Yawezekana huu sio mpango wa awam ya sita bali ulikuwa ni mpango wa awam ya tano.
 
sasa tupo serikali mpya ya awam ya sita, nadhani serikali yetu mpya chini ya rais wetu mpendwa lazma watapitia kwa upya swala hili.
Yawezekana huu sio mpango wa awam ya sita bali ulikuwa ni mpango wa awam ya tano.
Wine ile ile glass ndiyo mpya. Tegemea kulewa kwa kiwango kilele, na taste ile ile.
 
Mkuu mimi nimepata plan B kama unayo line ya chuo piga *148*55# kuna kifurushi cha 1500 gb 1 na nusu ila hizo mb 500 ni kwa YouTube pekee
Yah line ya chuo ninayo ila sijajua huo mchanganua wa MB500 za youtube zinakuwa zinatoka kwenye package hiyo hiyo ya 1GB au ni ka bonus kake kanako jitegemea nje ya hiyo GB1
 
Yah line ya chuo ninayo ila sijajua huo mchanganua wa MB500 za youtube zinakuwa zinatoka kwenye package hiyo hiyo ya 1GB au ni ka bonus kake kanako jitegemea nje ya hiyo GB1
Nje ya hiyo 1gb
 
Back
Top Bottom