mshale21
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 2,126
- 5,068
Wakuu habarini,
Leo umekuwa Ni mwendo wa kutumiwa taarifa kuwa tar 16/8/2021 kutakuwa na mabadiliko ya Vifurushi!
Ikumbukwe miezi kadhaa iliyopita, sakata la mabadiliko ya Vifurushi lilitrend Sana nchini, huku wananchi wakilalamikia kwa nguvu zote ukandamizwaji ulioonekana kupita kiasi, suala lililopelekea serikali kutoa tamko rasmi juu ya kuondolewa kwa Vifurushi vile vipya na kurejeshwa vya awali!
Sambamba na suala la tozo za miamala ( ambalo kimsingi bado hatima yake haijajulikana), je , tutarajie tozo nyinginezo ndani ya Vifurushi??