Mabadiliko ya Vifurushi vya mitandao Tanzania: Je, tutarajie nini?

Mabadiliko ya Vifurushi vya mitandao Tanzania: Je, tutarajie nini?

Wanafiki mnamponda mama magufuli mlimtukana na kumuita dictator mnataka raisi wa aina gani Tanzania ? na mama akitoka mtamsifia
Me mwenyewe nashangaa kuona Mwanamke Ni Dict..r[emoji849]
Kitu ambacho sikuwah kuwaza!
 
Huku mtaani maleiman wana mdiss sana maza,kwa kifupi hawamuelewi kabisaaa.
Bei ya mafuta,
Ongezeko la bei ya vifurushj,
Tozo,
Chanjo ya corona,
Sakata la mbowe
Hizi mambo zinaanza mletea mama maadui wengi
 
Me mwenyewe nashangaa kuona Mwanamke Ni Dict..r[emoji849]
Kitu ambacho sikuwah kuwaza!
Yaani mimi kifo cha magufuli nimejifunza mengi sana watanzania wengi tunafuata mkumbo tu ndo maana TRUMP alisema AFRICA itawaliwe tena maana kinachoendelea ni upuuzi mtupu.
 
Huyu bibi nchi imemshinda, yaani hatujamalizana kwenye miamala vifurushi vinapanda.
Kama vipi akagombee kwao atuachie Tanganyika yetu.
 
Nchi yenye kodi ya uzalendo, wabunge wasiolipa kodi, viete nyingi kuliko matundu ya vyoo mashuleni...😕ngoja nikachanjwe pale O'bay CRDB Marathon leo nasikia wanachanja tu.

Everyday is Saturday................................😎
 
Yaani mimi kifo cha magufuli nimejifunza mengi sana watanzania wengi tunafuata mkumbo tu ndo maana TRUMP alisema AFRICA itawaliwe tena maana kinachoendelea ni upuuzi mtupu.
Trump alisema tunawaza tuu Ngono
 
Tusubiri tuyaone hayo mabadiliko...

Yanaweza yakawa positive kwetu wateja kwa kutupa nafuu au negative kwa kutupa maumivu sambamba na tozo za miamala ya mitandao ya simu...

From there, we will know what step to take...
You cross the bridge when you reach it.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Sijawahi ona maboresho yoyote Tanzania ya kushuka,always ni kupanda..tutarajie kuumizwa tu
Inaweza ikatuumiza na pia kutusaidia. Kupanda vifurushi itapunguza muda wa kukaa mtandaoni na kuokoa macho yetu kuharibika. Wengi tunajua athari ya macho yetu kwa kuwa mtandaoni kwa muda mrefu, lakini kuondoa stress za kukosa kazi tunajikuta tunashinda mtandaoni.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Nimekumbuka ushindani wetu kwenye kampeni pale baadhi ya watanzania wanapo jifanya wao ni daraja la kwanza

Na wale walio tofauti kimtazamo wakiwa kama second hand lkn mwisho wa siku wote tuko pamoja na tuna enjoy pamoja kwenye tozo tuko wote na sasa tunaingia hatu ya vifurushi tuko bega kwa bega
 
Naona Halotel wamebadilisha maamuzi.


Dear customer, the changes on our bundles that were to be implemented on 16/08/2021 have been postponed until further notice.Thank you!
 
Wamechomoa battery

Screenshot_20210815-170507_Messages.jpg
 
Kesho kodi ya uzalendo kwenye vocha inaanza.

Ndiyo maana kifurushi vitabadilika.

Bado hawajamliza na sisi mwakani wakitaka kujenga visima vya maji vijijini wataanzisha tozo za nyeto kwa wanafunzi
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom