Mabadiliko ya Vifurushi vya mitandao Tanzania: Je, tutarajie nini?

Kesho kodi ya uzalendo kwenye vocha inaanza.

Ndiyo maana kifurushi vitabadilika.

Bado hawajamliza na sisi mwakani wakitaka kujenga visima vya maji vijijini wataanzisha tozo za nyeto kwa wanafunzi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wakuu habarini,

Leo umekuwa Ni mwendo wa kutumiwa taarifa kuwa tar 16/8/2021 kutakuwa na mabadiliko ya Vifurushi!

Ikumbukwe miezi kadhaa iliyopita, sakata la mabadiliko ya Vifurushi lilitrend Sana nchini, huku wananchi wakilalamikia kwa nguvu zote ukandamizwaji ulioonekana kupita kiasi, suala lililopelekea serikali kutoa tamko rasmi juu ya kuondolewa kwa Vifurushi vile vipya na kurejeshwa vya awali!

Sambamba na suala la tozo za miamala ( ambalo kimsingi bado hatima yake haijajulikana), je , tutarajie tozo nyinginezo ndani ya Vifurushi??
Kodi mpyaa tutarajie.
 
Hii sub ya kesho kutwa itaumiza wengi sana uwanjani maana kwa jinsi nilivyo kua naiona ikipigishwa warmup sidhani kama kuna mtu atatoka
 
Hapo wanapunguza vifurushi maana serikali ilisema na huko inataka mapata.
Yajayo yanafurahisha
 
Tusubiri tuyaone hayo mabadiliko...

Yanaweza yakawa positive kwetu wateja kwa kutupa nafuu au negative kwa kutupa maumivu sambamba na tozo za miamala ya mitandao ya simu...

From there, we will know what step to take...
Zaidi ni negative maana toka lini ccm ikawa na huruma na mlipa kodi
 
Wakuu habarini,

Leo umekuwa Ni mwendo wa kutumiwa taarifa kuwa tar 16/8/2021 kutakuwa na mabadiliko ya Vifurushi!

Ikumbukwe miezi kadhaa iliyopita, sakata la mabadiliko ya Vifurushi lilitrend Sana nchini, huku wananchi wakilalamikia kwa nguvu zote ukandamizwaji ulioonekana kupita kiasi, suala lililopelekea serikali kutoa tamko rasmi juu ya kuondolewa kwa Vifurushi vile vipya na kurejeshwa vya awali!

Sambamba na suala la tozo za miamala ( ambalo kimsingi bado hatima yake haijajulikana), je , tutarajie tozo nyinginezo ndani ya Vifurushi??
Balance ya Tozo
 
Expect the worst from the worst ............
Maisha yanazidi kuwa magumu tu. Nadhani hii Ni kwasababu wabunge na mawaziri tulionao hawakuchaguliwa na wanànchi Bali waliteuliwa na mwendazake akishirikiana na Bashiru.
Viongozi waliocuaguliwa na wananchi hawawezi kuwaumiza wananchi kiasi hicho.
 
Wasalaaam wana Bodi,

Moja kwa moja kwenye mada bila kupepesa macho, kwa mujibu wa jumbe nilizopata hivi leo ni dhahiri kuwa ifikapo 16 August,2021 mitandao ya simu imeamua tena kushusha RUNGU lao kwenye vifurushi.

Niko hapa natafakari kama mabadiliko haya yataleta kupanda kwa hivi vifurushi na si kushuka basi ni wazi kuwa matumizi ya Internet na mitandao ndo inakwenda kufanya kuwa anasa.

Je, mwana bodi mwenzangu we unadhani kuwa jema lolote la kutumainia katika mabadiliko ya hivi vifurushi au ndo MBWA KALA MBWA HII....miamala ni RUNGU la utosi vifurushi tena hili nadhani linakwenda kuwa RUNGU la meno tushindwe hata kutabasamu.
IMG_20210815_031642.jpg

IMG_20210815_031615.jpg

IMG_20210815_031642.jpg
 
Back
Top Bottom