chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
Usiogope mkuu tegemea marungu mengi tuu yajayo yanahuzunisha. Hapo Badoo impact ya upandaji wa mafuta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
As long as Samia anakuwa dikiteita, bourgeois normally do bank on dictators, usitegemee kupata nafuuTusubiri tuyaone hayo mabadiliko...
Yanaweza yakawa positive kwetu wateja kwa kutupa nafuu au negative kwa kutupa maumivu sambamba na tozo za miamala ya mitandao ya simu...
From there, we will know what step to take...
TOZO ya Mwigulu Nchemba ya "uzalendo" kwenye vocha itaanzaWakuu habarini,
Leo umekuwa Ni mwendo wa kutumiwa taarifa kuwa tar 16/8/2021 kutakuwa na mabadiliko ya Vifurushi!
Ikumbukwe miezi kadhaa iliyopita, sakata la mabadiliko ya Vifurushi lilitrend Sana nchini, huku wananchi wakilalamikia kwa nguvu zote ukandamizwaji ulioonekana kupita kiasi, suala lililopelekea serikali kutoa tamko rasmi juu ya kuondolewa kwa Vifurushi vile vipya na kurejeshwa vya awali!
Sambamba na suala la tozo za miamala ( ambalo kimsingi bado hatima yake haijajulikana), je , tutarajie tozo nyinginezo ndani ya Vifurushi??
Uchumi wa mitandao ya simu umeporomoka sana kwenye makampuni baada ya upumbaavu wa wabunge na serikali uchwala ya samia kukurupuka kuweka tozo sasa mapato hata yale ambayo serikali ilikuwa inapata yamedondoka ushauri wangu kwa watz tusipoteze muda kupigishana kelele na wapumbaavu wanaotuambia tuamie burundi bali tuachane na hizo uduma zenye makato wenyewe watajua kuwa wao ni wapumbaavuWakuu habarini,
Leo umekuwa Ni mwendo wa kutumiwa taarifa kuwa tar 16/8/2021 kutakuwa na mabadiliko ya Vifurushi!
Ikumbukwe miezi kadhaa iliyopita, sakata la mabadiliko ya Vifurushi lilitrend Sana nchini, huku wananchi wakilalamikia kwa nguvu zote ukandamizwaji ulioonekana kupita kiasi, suala lililopelekea serikali kutoa tamko rasmi juu ya kuondolewa kwa Vifurushi vile vipya na kurejeshwa vya awali!
Sambamba na suala la tozo za miamala ( ambalo kimsingi bado hatima yake haijajulikana), je , tutarajie tozo nyinginezo ndani ya Vifurushi??
Hiyo ni ada ya kupata kadi mpyaa sio ada ya utoaji fedha
Mama haeleweki na haaminikiHuku mtaani maleiman wana mdiss sana maza,kwa kifupi hawamuelewi kabisaaa.
Utaelewa kesho!Ndugu Mteja, Halotel inakutaarifu kutakuwa na mabadiliko katika vifurushi vyetu kuanzia tarehe 16/8/2021. Furahia huduma za Halotel kwa kupiga *148*66#, Asante.