Huku mtaani maleiman wana mdiss sana maza,kwa kifupi hawamuelewi kabisaaa.Wakuu habarini,
Leo umekuwa Ni mwendo wa kutumiwa taarifa kuwa tar 16/8/2021 kutakuwa na mabadiliko ya Vifurushi!
Ikumbukwe miezi kadhaa iliyopita, sakata la mabadiliko ya Vifurushi lilitrend Sana nchini, huku wananchi wakilalamikia kwa nguvu zote ukandamizwaji ulioonekana kupita kiasi, suala lililopelekea serikali kutoa tamko rasmi juu ya kuondolewa kwa Vifurushi vile vipya na kurejeshwa vya awali!
Sambamba na suala la tozo za miamala ( ambalo kimsingi bado hatima yake haijajulikana), je , tutarajie tozo nyinginezo ndani ya Vifurushi??
Tutapigwa chenga ya akiliSijawahi ona maboresho yoyote Tanzania ya kushuka,always ni kupanda..tutarajie kuumizwa tu
👍Tusubiri tuone
Wakuu habarini,
Leo umekuwa Ni mwendo wa kutumiwa taarifa kuwa tar 16/8/2021 kutakuwa na mabadiliko ya Vifurushi!
Ikumbukwe miezi kadhaa iliyopita, sakata la mabadiliko ya Vifurushi lilitrend Sana nchini, huku wananchi wakilalamikia kwa nguvu zote ukandamizwaji ulioonekana kupita kiasi, suala lililopelekea serikali kutoa tamko rasmi juu ya kuondolewa kwa Vifurushi vile vipya na kurejeshwa vya awali!
Sambamba na suala la tozo za miamala ( ambalo kimsingi bado hatima yake haijajulikana), je , tutarajie tozo nyinginezo ndani ya Vifurushi??
Kesho makato kwenye vocha yanaanza hivyo expect hicho kituWakuu habarini,
Leo umekuwa Ni mwendo wa kutumiwa taarifa kuwa tar 16/8/2021 kutakuwa na mabadiliko ya Vifurushi!
Ikumbukwe miezi kadhaa iliyopita, sakata la mabadiliko ya Vifurushi lilitrend Sana nchini, huku wananchi wakilalamikia kwa nguvu zote ukandamizwaji ulioonekana kupita kiasi, suala lililopelekea serikali kutoa tamko rasmi juu ya kuondolewa kwa Vifurushi vile vipya na kurejeshwa vya awali!
Sambamba na suala la tozo za miamala ( ambalo kimsingi bado hatima yake haijajulikana), je , tutarajie tozo nyinginezo ndani ya Vifurushi??
Kesho kodi ya uzalendo kwenye vocha inaanza.Tusubiri tuyaone hayo mabadiliko...
Yanaweza yakawa positive kwetu wateja kwa kutupa nafuu au negative kwa kutupa maumivu sambamba na tozo za miamala ya mitandao ya simu...
From there, we will know what step to take...
Kesho kodi ya uzalendo kwenye vocha inaanza kukatwa hivyo lazima wafanye hayo mabadiliko.Kwa mbali 'Naiona picha ya ulichokieleza'
#Tanzania Ni nchi Tajir thaaanaah!
Havikurejeshwa na kesho kodi ya uzalendo kwenye vocha ya Zungu inaanza kutozwa.Umeninukuu Tofauti ndg,
Nlichoelezea hapo Ni kwamba Serikali ilitoa tamko virejeshwe,
Sasa hayo mengine Ni viburi tu vya wenye mitandao!