[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kesho kodi ya uzalendo kwenye vocha inaanza.
Ndiyo maana kifurushi vitabadilika.
Bado hawajamliza na sisi mwakani wakitaka kujenga visima vya maji vijijini wataanzisha tozo za nyeto kwa wanafunzi
They have run out of ideas kwahiyo kazeni buti[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si mlisemaga Anaupiga mwingi??Huku mtaani maleiman wana mdiss sana maza,kwa kifupi hawamuelewi kabisaaa.
Ntawaibukia hapo kwenye sho p lao na panga oohhh nshachoka sasaInaonekana wanataka kukusuprize mkuu'
The moment utakapoweka vocha ndiyo maana wanarekebisha kupitia kifurushi ili usikwepeBasi Siweki vya kukwangua na weka kwa mpesa
Kodi mpyaa tutarajie.Wakuu habarini,
Leo umekuwa Ni mwendo wa kutumiwa taarifa kuwa tar 16/8/2021 kutakuwa na mabadiliko ya Vifurushi!
Ikumbukwe miezi kadhaa iliyopita, sakata la mabadiliko ya Vifurushi lilitrend Sana nchini, huku wananchi wakilalamikia kwa nguvu zote ukandamizwaji ulioonekana kupita kiasi, suala lililopelekea serikali kutoa tamko rasmi juu ya kuondolewa kwa Vifurushi vile vipya na kurejeshwa vya awali!
Sambamba na suala la tozo za miamala ( ambalo kimsingi bado hatima yake haijajulikana), je , tutarajie tozo nyinginezo ndani ya Vifurushi??
Mimi waliniyumiq nikafuta.Sipendi kutishwaMbona meseji wengine hatujazipolea
Zaidi ni negative maana toka lini ccm ikawa na huruma na mlipa kodiTusubiri tuyaone hayo mabadiliko...
Yanaweza yakawa positive kwetu wateja kwa kutupa nafuu au negative kwa kutupa maumivu sambamba na tozo za miamala ya mitandao ya simu...
From there, we will know what step to take...
Balance ya TozoWakuu habarini,
Leo umekuwa Ni mwendo wa kutumiwa taarifa kuwa tar 16/8/2021 kutakuwa na mabadiliko ya Vifurushi!
Ikumbukwe miezi kadhaa iliyopita, sakata la mabadiliko ya Vifurushi lilitrend Sana nchini, huku wananchi wakilalamikia kwa nguvu zote ukandamizwaji ulioonekana kupita kiasi, suala lililopelekea serikali kutoa tamko rasmi juu ya kuondolewa kwa Vifurushi vile vipya na kurejeshwa vya awali!
Sambamba na suala la tozo za miamala ( ambalo kimsingi bado hatima yake haijajulikana), je , tutarajie tozo nyinginezo ndani ya Vifurushi??
Expect the worst from the worst ............Wakuu habarini,