Mabaharia mwenzangu, Hivi unajua "UMALAYA" ni gharama Sana?

Amina Amina! Ubarikiwe sana
 
2tafika 2mechoka sana
 
Binafsi naushukuru umalaya kwani nikipoteza hela nyingi huko huwa napata ari ya kutafuta pesa kwa juhudi sana.
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Ahsante kwa ushauri ila kwa Baharia wa kweli hawezi tumia Gharama zote hizo kwa Mbususu 1 tuu anayetumia hela zote hizo hafai kuwa Baharia maana hiyo kwa baharia ni hela ya kuspend mademu kama 6 ivii
Umeona eh! Mwenyewe hizo gharama ckazikubali baharia lazima uwe mgumu kwenye hela.
 
Ahsante kwa ushauri ila kwa Baharia wa kweli hawezi tumia Gharama zote hizo kwa Mbususu 1 tuu anayetumia hela zote hizo hafai kuwa Baharia maana hiyo kwa baharia ni hela ya kuspend mademu kama 6 ivii
Maana yake ni average ya 20000 tu kwa mwanamke mmoja, mbona unawanyonya sana?
 
Hongera, maana naona umeshapanda na mparachichi kabisa!
 
We unawajua vizuri hawa viumbe [emoji1547][emoji1547]
 
Babaria kama pesa zipo nyingi na zimepatikana nyingi ndio TUNAENDELEA kuwekeza again and again.

Yaani kama ulikua na duka moja fungua la pili.

Endelea kupambana mpaka ikiwezekana uwe level za ku-discus madili na bakhresa.

#YNWA

After kudiscuss madili na bakhresa na unapata hela unakufa shughuli inaishia hapo.
We live once, take moment and enjoy life bro.
Kama umalaya ni gharama bas oa utulie na mmoja.
Sio kutaka utelezi kwa gharama za ajabu ajabu.
 
We jamaa takutafuta unifanyie kikotoo(tra calcutar)
 
Baharia sintoacha kutafuna mbususu siogopi maisha ni mipango,kila mtu ana mfumo wake wa kuingiza pesa.....yani jmosi ndio ratiba yangu ya kuchakata,jpili nashinda na familia
 
Nishawahi fanya hii nilisafirisha demu kutoka Mbeya mpaka Dar sikumbuki nilitumia shingapi ila ni pesa ndefu

Mind you nilikuwa chuo mwaka wa 2
 
Nishawahi fanya hii nilisafirisha demu kutoka Mbeya mpaka Dar sikumbuki nilitumia shingapi ila ni pesa ndefu

Mind you nilikuwa chuo mwaka wa 2

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama nakuona ulivyokua unashindia uji baada ya kuondoka
Kuna watu mnapitia mengi jaman[emoji23][emoji23]
Pole lakin mkuu
 
We jamaa takutafuta unifanyie kikotoo(tra calcutar)
πŸ˜‚πŸ˜‚ Karibu mkuu.

Huo ni utaratibu wangu, kabla hajafika najua ntatumia ah ngapi sio kutoatoa tu kisa umezuzuka na uzuri wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…