Mabaharia mwenzangu, Hivi unajua "UMALAYA" ni gharama Sana?

Mabaharia mwenzangu, Hivi unajua "UMALAYA" ni gharama Sana?

Kwani kila mwanamke unayekutana nae unataka mtoto.

Na kifupi unavyokuwa na pisi nyingi Kuna zile ambazo unakula kavu, hizi si ndio za kukupa mtoto.

Au we kila uliyekutana mpaka kufika umri huo ulitumia condom?

Na pia huwezi kutotumia condom kwa kila pisi utakayo kutana nayo, Kuna MAGONJWA na KUZAA bila mpango.

Ukikutana na yule mtaka mtoto kama wewe KAPIMENI then WEKS MIMBA.

Ila na msisitizo "USIKIMBIE MALEZI" kama hauko tayari kulea "USITAFUTE MTOTO""

Hawa wanawake wa ""Mi SIHITAJI NDOA nataka tu mtoto wangu mmoja"" wapo kibao mtaani.


Duh hii ipo complex sanaa...

Ila sidhani kwa dunia hii kuna mwanamke/mwanaume ambae hajawahi tendwa kwenye mahusiano.

Na matokeo ya KUTENDWA si lazima iwe kuachana.

Unaweza kukuta watu bado wapo kwenye uhusiano au ndoa yao ila walishawahi kufumaniana na vitu kama hivyo.

Kwa mahusiano haya ya zama hizi KUTENDWA HAKUEPUKIKI.

Tutafute hela VIJANA TULE MAISHA.

PISI zipo tu.

Cheers.
Meet you at the top.

#YNWA
Poa poa
 
Aisee mwamba basi hicho kilimo kinakulipa sana, halafu hizo ni gharama za mtu alie kwenye ndoa anachepuka.

Hiyo nauli ni kubwa sana kama yupo hapa dar nitaenda kumchukua mwenyewe.

Nikiwa vizuri ntanunua chakula wala haizidi 5000, mimi nakua nshapiga dona.

Lodge ya nini??? Labda mkuu uko mbali sana na kwako, una kwako lodge uende kufanha nini.

Kuna na malipo kabisa unamlipa 30k , una pesa ya kuchezea sana we kijana, yote hiyo ya nini. Labda kama anajiuza na hiyo ndo gharama yake ila kama nimemtongoza akisepa na nyingi ni 10k tu ya nauli.
Mpaka hapo nakua nimetumia si zaidi ya 20k.
Manzi ukimpeleka kipesapesa pesa itakutoka kwelikweli na bila kutegemea utajikuta umetumia mipesa kibao kama wewe, ulivotumia malaki kwa jambo la 50k tu.
Mkuu hii ndiyo average sasa huyu jamaa wanawake anaowasemea huenda ni wale wa class flani hivi middle/high. Huwezi ukawa na Dem wa kawaida tu Au tuseme umemtongoza Dem wa low class ukatoboke kiasi chote hicho.
Ukitumia nyingi sana 30k kibaaria unakesha na mbususu mpk asubuhi una mpa yake 10k, nauli 5k, msos 5k guest 10k.
 
Ila mimi sihongi hela nyingi hivyo na mbususu nazitafuna.....jana nimelala na malaya mmoja mpaka asubuhi....yule malaya nikampa elfu kumi akaondoka....muda huo akaingia muhudumu wa kike kunisalimia nae pia nikampanga nikamla mbususu.....wanaume wenzangu huwa mnaferi wapi??
 
Eeh bwana eeh it's me Mr. Liverpool again.

Mwenzenu nimekaa nikawazaa na kuwazua, nikaona dah "BAGOSHAAAA wanaume TUNANYONYWA SANAA"

Iko hivi.....

Mr. Liverpool ni mkulima wa Parachichi na miti ya mbao.

Sasa bana, leo nimekaa nikawa napanga bajeti ya kuingia Shamba.
Maana huwa naingia Shamba mwisho wa mwaka kupanda miti (kuanza new season) na kuhudumia iliyopo Shamba.

Aisee kwa kuwa miti yangu imekua mikubwa basi inahitaji pesa ndefu kiasi kwenye huduma (Kilimo biashara)

Sasa nikawaza ""Huwa natombe* na kuhonga za nini hizi hela..!!???""

Kwa scenario hii, Hebu fikiria hizi losted financial resources...

Umemtongoza demu akakuelewa na kutaka kukupa mbunye.
Sasa tuseme umeamua kuwa low kwenye matumizi.

1. Soon atakuomba vocha ,5000
2. Utatuma nauli akufate lodge uliyopo mpate vinywaji na kula kwanza 50,000 (nauli + vinywaji + msosi)
3. Utalipia chumba 20,000
4. Mtanunua vya kwenda navyo chumbani (Vinywaji+condom) 10,000
5. Asubuhi mtaagana 30,000

Hii nimefanya minimum cost ile kikaizu zaidi.

Yaani kwa mbunye ya siku moja umeteketeza 115,000/=

Yaani umeteketeza...
1. Gharama ya kununua Eka 1 kijijini huko
2. Gharama ya kulima Eka 2 mpaka 4 (inategemea na location ya Shamba lako).
3. Gharama ya kupalilia Eka 3 za shamba
4. Gharama ya kupata viwalo vikali full kutoka kwa Fred Vunja bei.

Ila nikawaza ""si opportunity cost"" @ umeamua kupiga chini ku-investment na future yako kwa ajili ya utamu wa usiku mmoja (exchanging of satisfactions).

Dah, hivi kila mtu akikaa chini ajumlishe zile pesa alizohonga mwaka huu tu hivi hanunui TRACTOR kweli akalipeleka Ifakara au Chimala huko likamuingizie pesa?

Dah kuzaliwa mwanaume ni mateso Sana, kila mwanamke utakaye mtongozo atahitaji pesa zako..!!!

Dah mwenzenu mi nimeacha.
Ni mama zetu
Ni dada zetu
Ni shangazi zetu
Ni mabinti zetu
Ni maua yetu
.....ila WANAMALIZA SANA PESA.

Mi sitaki Tena kuhonga.
BORA PESA ZANGU NIZITUPIE HUKU TU 👇👇👇
View attachment 2000769

Masela A.K.A mabaharia hebu tutengeneze future zetu na ya vizazi vyetu.

Let's invest
Let's dig financial knowledge in our brains.
Maana pesa bila maarifa ya pesa HUYEYUKA FASTAAA.

Umalaya SIO DILI.

INVESTMENT is BETTER than BUSINESS

TUTAFUTE HELA ili TUWEKEZE na sio KULIA MBUNYE.

Nimeamua kujiunga na CHAMA CHA WANAUME MABAHIRI RASMINI.

KATIBU eeeh "NAOMBA KADI"

#YNWA
Ukiwa na akili za kuwekeza na kuzalisha pesa wanawake wanakufuata wenyewe tu sasa sijui unakwama wapi mangi?

Wanawake wanaokuja wenyewe wanakuelewa unawala kibaharia tu wala hawana gharama sana sasa we unaangamiza laki nzima mkuu haiko sawa badili mbinu! Ukijifanya fogo lazma upasuke tu.
 
Aisee mwamba basi hicho kilimo kinakulipa sana, halafu hizo ni gharama za mtu alie kwenye ndoa anachepuka.

Hiyo nauli ni kubwa sana kama yupo hapa dar nitaenda kumchukua mwenyewe.

Nikiwa vizuri ntanunua chakula wala haizidi 5000, mimi nakua nshapiga dona.

Lodge ya nini??? Labda mkuu uko mbali sana na kwako, una kwako lodge uende kufanha nini.

Kuna na malipo kabisa unamlipa 30k , una pesa ya kuchezea sana we kijana, yote hiyo ya nini. Labda kama anajiuza na hiyo ndo gharama yake ila kama nimemtongoza akisepa na nyingi ni 10k tu ya nauli.
Mpaka hapo nakua nimetumia si zaidi ya 20k.
Manzi ukimpeleka kipesapesa pesa itakutoka kwelikweli na bila kutegemea utajikuta umetumia mipesa kibao kama wewe, ulivotumia malaki kwa jambo la 50k tu.
Itakuwa mwamba Liverpool VPN anajifanya “Bonta Fogo“ mbele ya mademu yani papaa mipesa😆 hapo lazma achunwe kama buzi!
 
Starehe gharama Mkuu.


Huwezi amini kuna watu tupo nao Bongo hapa, ila Wanaishi utadhan wako Ulaya.

Wakat wee unawaza 150K kupoteza.

Kuna mwana yeye anaongelea 2M kumla demu.


Kikubwa kila MTU aishi sawa na Uwezo wake tu.

Sio lazima ugonge mademu!!


TAFUTA DEMU WAKO MMOJA, UNAYEJUA UKO MWENYEWE, TULIA NAYE, UWE UNAMJALI .



KWA UFUPI, HUWEZI KUA NA MWANAMKE , ALAFU USIFANYE MATUMIZI YA PESA .

Yaan hata huyo mmoja, utatuma nauli. ,utatuma saloon, mahitaji yake , n.k, kama amepanga utalipa kodi , Chakula n.k ..

Hivo vitu hufundishiki .



Utafanyaje sasa??

Asile?

Asinywe??


Yaan atoke atokako kukuletea Mbusus Kwa gharama zake Mwenyewe, ule, na asepe Kwa gharama zake Mwenyewe?


TRUST ME, akifanya hivo, nawewe atakupa Shariti la kumtomba bila KONDOMU ,na hutaamini ,asubuhi atakapoondoka, hatopatikana tenaaaaaaaaaa kwenye Simu na atakua kakuachia Ngoma.


Sanasanaaa atakutext " Usipende vya bure, vina gharama"
Hahahah malaya ndio wanaosema hizo lugha ila co-operate ladies wanaojielewa tunakulana ki cousin tu!

Show kali hamna kuuziana mbunye yani ni bill za misosi na vinywaji tu. Choose wisely!
 
Kuna baadhi ya wabongo wanashindwa kutofautisha hela za kuwekeza na Hela za Anasa/starehe..

Umenikuta Bar nakunywa Bia zangu 10 unaanza kunipigia hesabu ya chupa mojamoja na kusema hiyo hela ya bia 10 si ungefanyia ishu za maana? Heee najiuliza waliopo bar wote hawana future, hawana maendeleo na investment yoyote....sio kweli

Kuna hela za anasa na hela za Investment...Zipangilie na ujiongeze kivyakovyako tusipangiane life[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
Stop seeing a bag of cement in every money you make 😂!!!

If the money you make don’t solve your problems please eat that money 😂😂😂
 
Ulivyorahisisha sasa,kwa hiyo mkimaliza kufanya yenu,hakuna kifuta jasho,unampa 3000, atalipia uber basi?
Kifuta jasho kwani ulikuja kupasua magogo?..si umekuja kugugumia utamum..

Kidding
 
Baharia mwenzangu hili nililiona kitambo sana tangia kipindi napata mateso ya madeni yasiyo ya msingi. Juzi kati nilipanga na dem wa kiha aje Zenji ila nimekaa nikawaza nimtoe kwa gia gani ili asije kunitia gharama zisizo na maana.

Kwanza kinachonifanya nikatae kuhonga ni kuwaza wazazi wangu. Sijawatumia hata shilingi elfu 10 nikapata baraka nianze kutumia laki nikapata laana za milele.

Kuhonga nilikuwa nahonga sana ila kwasasa mademu wananikataa wananiita baghili.... Eti ukimpa elfu kumi haitaki anataka 30. Nimeamua kula vinono kwa mke wangu maana ukimpenda mke wako utamu ni uleule.
 
115,000 ni nyingi sana.

Uber /bolt 3000.kuja
Chips, kuku, mayai pack 2@ 4,000 = 8000
Soda 2@ 500 = 1000
Vocha ya 2000 kama zawadi.
Uber/Bolt kuondoka 3000
Total expenses : 17,000

115,000 - 17,000 = 98,000/=

Hiyo 98,000 weka kwenye Simu itakulinda.

Mnaumiza sana vichwa mademu wenyewe ni njaa tu , ukimpa hela nyingi yeye azipeleke wapi wakati wanataka kula na bundle ya internet tu.
Wahuni wanafikiri kutoa hela nyingi ,ndo wataonekana ma gentleman
 
Ulivyorahisisha sasa,kwa hiyo mkimaliza kufanya yenu,hakuna kifuta jasho,unampa 3000, atalipia uber basi?
Ushanunuliwa chakula, usafiri go & return, na vocha ya 2000 , unataka ufutwe jasho tena kivp ..... km unauza weka na bei kabisa ijulikane
 
Umalaya una gharama sana bora kuhodhi mwanamke wako tu awe anakupea ukihitaji, kwa sie ambao tuna mahesabu makali umalaya kwetu ni mgumu sana kuutekeleza yani! I’ll just be straight with one girl tu.
Sure mkuu ,ukiwa na mahesabu makali, umalaya utauweka kando ....coz hawa viumbe wanajua kutunyoosha kwenye maswala ya pesa
 
Mkuu hii ndiyo average sasa huyu jamaa wanawake anaowasemea huenda ni wale wa class flani hivi middle/high. Huwezi ukawa na Dem wa kawaida tu Au tuseme umemtongoza Dem wa low class ukatoboke kiasi chote hicho.
Ukitumia nyingi sana 30k kibaaria unakesha na mbususu mpk asubuhi una mpa yake 10k, nauli 5k, msos 5k guest 10k.
Mkuu mwanamke utavomzoesha ndivo hivo atavokua. We endelea kuwaweka kwenye classes wakati akili zao sawa.

We hujawahi kuona pisi kali afu inamegwa na jamaa oya oya tu, au inamegwa na bodaboda asie na kitu wanahonga kina Liverpool VPN afu ye anakula free tu.
 
Sisi wengine ndiyo maana tunaoa tu. Huu umalaya umetushinda zamani sana.

Umalaya mtihani sana.
Ukweli ndio huu umalaya Ni kipaji ..yaan nimejitahidi kutongoza na hakuna anae nikataa lkn nalala mitini..
 
Back
Top Bottom