Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gharama na risk ya magonjwa jumlisha kujichanganya kwa wake za watu, upo guest unaibukiwa na kundi la masela ndo utajua hujui, uzinzi gharama sana.Katika mambo yaliyonishinda ni pamoja na umalaya ,hasa nikifikilia gharama na risk ya magonjwa.
Tuendelee kupiga k vant mbususu home,tuoe vijana
Ahaha imebidi Hadi nicheke..namaanisha hapa jukwaani ulipotea sn siku za hivi karibuniSijakuelewa. Kwamba kuoa ni kupotea ?
Ndio maana nikamwambia kilimo kinamlipa sana mpaka anatapanya pesa namna hiyo.Mmh,inategemea na status ndugu yangu na hzo bajeti ulizoandika hapo ni za mtu asojiweza
Tupo ila tunapishana tu.
Me pia nashangaa 115k anasema eti hapo amejibana ... hv anajua mabaharia walivo wagumu .....Ahsante kwa ushauri ila kwa Baharia wa kweli hawezi tumia Gharama zote hizo kwa Mbususu 1 tuu anayetumia hela zote hizo hafai kuwa Baharia maana hiyo kwa baharia ni hela ya kuspend mademu kama 6 ivii
Anazungumzia status ya mwanamke .Ndio maana nikamwambia kilimo kinamlipa sana mpaka anatapanya pesa namna hiyo.
Sijakuelewa tu hapo uliposema "stutus" hiyo status ni kwa mlengo upi kijamii au kiuchumi?? Labda kijamii kua utaogopa macho ya watu kuingiza wanawake kwako.
Ila kiuchumi iko sawa kabisa kwa mwanaume yeyote asietaka kutapanya pesa kama huyo ndgu.
Ulivyorahisisha sasa,kwa hiyo mkimaliza kufanya yenu,hakuna kifuta jasho,unampa 3000, atalipia uber basi?115,000 ni nyingi sana.
Uber /bolt 3000.kuja
Chips, kuku, mayai pack 2@ 4,000 = 8000
Soda 2@ 500 = 1000
Vocha ya 2000 kama zawadi.
Uber/Bolt kuondoka 3000
Total expenses : 17,000
115,000 - 17,000 = 98,000/=
Hiyo 98,000 weka kwenye Simu itakulinda.
Mnaumiza sana vichwa mademu wenyewe ni njaa tu , ukimpa hela nyingi yeye azipeleke wapi wakati wanataka kula na bundle ya internet tu.
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu hujampa hata nauli.115,000 ni nyingi sana.
Uber /bolt 3000.kuja
Chips, kuku, mayai pack 2@ 4,000 = 8000
Soda 2@ 500 = 1000
Vocha ya 2000 kama zawadi.
Uber/Bolt kuondoka 3000
Total expenses : 17,000
115,000 - 17,000 = 98,000/=
Hiyo 98,000 weka kwenye Simu itakulinda.
Mnaumiza sana vichwa mademu wenyewe ni njaa tu , ukimpa hela nyingi yeye azipeleke wapi wakati wanataka kula na bundle ya internet tu.
Kwani jasho si tumetoa wote?Ulivyorahisisha sasa,kwa hiyo mkimaliza kufanya yenu,hakuna kifuta jasho,unampa 3000, atalipia uber basi?
Kwani watoto/kizazi ni lazima kuoa?Kama unapinga kuoa ni kizazi kipi unachoendeleza?
Kwenye umalaya condom muhimu, je watoto watatoka wapi? Labda useme ushaishi na mwanamke akakutendaKwani watoto/kizazi ni lazima kuoa?
#YNWA
Kwani kila mwanamke unayekutana nae unataka mtoto.Kwenye umalaya condom muhimu, je watoto watatoka wapi?
Duh hii ipo complex sanaa...Labda useme ushaishi na mwanamke akakutenda