Mabaharia mwenzangu, Hivi unajua "UMALAYA" ni gharama Sana?

Mabaharia mwenzangu, Hivi unajua "UMALAYA" ni gharama Sana?

Anazungumzia status ya mwanamke .

Kwamba kuna wanawake grade ya juu na grade ya chini ...hapo anakuona ww unawaweza grade ya chini
Kijana hawana grade hao shauri yako, we utaendelea kula makapi kwa kuogopa eti kuna grades. Mi nshawai kula manzi mkali kabisa kwa kipindi fulani for free kabisaa. Ambae we mpanga grades ukimuona utatumia mahela yako mengi, hadi sometimes girls wanawashangaa mnapotumia ela kiholela hata isipohitajika.

Ndo hapo mnaonekana kua mnataka kujionesha mna pesa na ndo mnapopofolewa sasa.
 
Ukiwa na akili za kuwekeza na kuzalisha pesa wanawake wanakufuata wenyewe tu sasa sijui unakwama wapi mangi?

Wanawake wanaokuja wenyewe wanakuelewa unawala kibaharia tu wala hawana gharama sana sasa we unaangamiza laki nzima mkuu haiko sawa badili mbinu! Ukijifanya fogo lazma upasuke tu.
Sasa braza nimekutana na mbunye leo nataka kuila leo, Hapo unadhani Kuna kufagiliana na post and pre paid service?

#YNWA
 
Kijana hawana grade hao shauri yako, we utaendelea kula makapi kwa kuogopa eti kuna grades. Mi nshawai kula manzi mkali kabisa kwa kipindi fulani for free kabisaa. Ambae we mpanga grades ukimuona utatumia mahela yako mengi, hadi sometimes girls wanawashangaa mnapotumia ela kiholela hata isipohitajika.

Ndo hapo mnaonekana kua mnataka kujionesha mna pesa na ndo mnapopofolewa sasa.
Hahahahah we jamaa hebu agiza Cafe-latte moja na kashata ya 200 bill kwangu😅!

Nilifikiri ni mimi tu ambaye huwa nashangaa hizi gharama zinazoainishwa humu mbona mie sikutanagi nazo kumbe ni mbinu tu zinatofautiana😅
 
Yaani ni kuinvest.

Zikiwa nyingi una invest Tena Tena na tenaa.

Mpaka na wewe uingie kwenye list la mabilionea wa Mhe. Mwiguru.

Tunahitaji kunywa chai meza moja na Bhakresa.

#YNWA
Kabla haujafikia kunywa na bakhresa sahivi unakunywa na nani? Kina mwajuma ndala ndefu???
 
Kijana hawana grade hao shauri yako, we utaendelea kula makapi kwa kuogopa eti kuna grades. Mi nshawai kula manzi mkali kabisa kwa kipindi fulani for free kabisaa. Ambae we mpanga grades ukimuona utatumia mahela yako mengi, hadi sometimes girls wanawashangaa mnapotumia ela kiholela hata isipohitajika.

Ndo hapo mnaonekana kua mnataka kujionesha mna pesa na ndo mnapopofolewa sasa.
Braza Kuna zile mbunye unakutana nazo leo, inatakiwa uzile leo fasta.

Mbunye za fast save.

#YNWA
 
Eeh bwana eeh it's me Mr. Liverpool again.

Mwenzenu nimekaa nikawazaa na kuwazua, nikaona dah "BAGOSHAAAA wanaume TUNANYONYWA SANAA"

Iko hivi.....

Mr. Liverpool ni mkulima wa Parachichi na miti ya mbao.

Sasa bana, leo nimekaa nikawa napanga bajeti ya kuingia Shamba.
Maana huwa naingia Shamba mwisho wa mwaka kupanda miti (kuanza new season) na kuhudumia iliyopo Shamba.

Aisee kwa kuwa miti yangu imekua mikubwa basi inahitaji pesa ndefu kiasi kwenye huduma (Kilimo biashara)

Sasa nikawaza ""Huwa natombe* na kuhonga za nini hizi hela..!!???""

Kwa scenario hii, Hebu fikiria hizi losted financial resources...

Umemtongoza demu akakuelewa na kutaka kukupa mbunye.
Sasa tuseme umeamua kuwa low kwenye matumizi.

1. Soon atakuomba vocha ,5000
2. Utatuma nauli akufate lodge uliyopo mpate vinywaji na kula kwanza 50,000 (nauli + vinywaji + msosi)
3. Utalipia chumba 20,000
4. Mtanunua vya kwenda navyo chumbani (Vinywaji+condom) 10,000
5. Asubuhi mtaagana 30,000

Hii nimefanya minimum cost ile kikaizu zaidi.

Yaani kwa mbunye ya siku moja umeteketeza 115,000/=

Yaani umeteketeza...
1. Gharama ya kununua Eka 1 kijijini huko
2. Gharama ya kulima Eka 2 mpaka 4 (inategemea na location ya Shamba lako).
3. Gharama ya kupalilia Eka 3 za shamba
4. Gharama ya kupata viwalo vikali full kutoka kwa Fred Vunja bei.

Ila nikawaza ""si opportunity cost"" @ umeamua kupiga chini ku-investment na future yako kwa ajili ya utamu wa usiku mmoja (exchanging of satisfactions).

Dah, hivi kila mtu akikaa chini ajumlishe zile pesa alizohonga mwaka huu tu hivi hanunui TRACTOR kweli akalipeleka Ifakara au Chimala huko likamuingizie pesa?

Dah kuzaliwa mwanaume ni mateso Sana, kila mwanamke utakaye mtongozo atahitaji pesa zako..!!!

Dah mwenzenu mi nimeacha.
Ni mama zetu
Ni dada zetu
Ni shangazi zetu
Ni mabinti zetu
Ni maua yetu
.....ila WANAMALIZA SANA PESA.

Mi sitaki Tena kuhonga.
BORA PESA ZANGU NIZITUPIE HUKU TU 👇👇👇
View attachment 2000769

Masela A.K.A mabaharia hebu tutengeneze future zetu na ya vizazi vyetu.

Let's invest
Let's dig financial knowledge in our brains.
Maana pesa bila maarifa ya pesa HUYEYUKA FASTAAA.

Umalaya SIO DILI.

INVESTMENT is BETTER than BUSINESS

TUTAFUTE HELA ili TUWEKEZE na sio KULIA MBUNYE.

Nimeamua kujiunga na CHAMA CHA WANAUME MABAHIRI RASMINI.

KATIBU eeeh "NAOMBA KADI"

#YNWA
Poa baharia. Tumekusikia siye vinega. Ila weye endelea kuwekeza huko kwenye ardhi. Siye vinega tutawekeza kwenye utamu wa mwili. Maisha ni mipango. Mtu afanye atakalo kutokana na satisfaction yake. Kila la kheri
 
Gharama na risk ya magonjwa jumlisha kujichanganya kwa wake za watu, upo guest unaibukiwa na kundi la masela ndo utajua hujui, uzinzi gharama sana.
"Kujichanganya kwa wake za watu" hii ukimaanisha unamtokea demu anakubali kukupa mbususu na hujui kama ni mke wa mtu!?!

Ila kweli, sikuizi huwa hawasemi kama wameolewa au lah. Kazi kweli kweli [emoji45]
 
Nilishaachaga hizi habari kitambo siku niko more focused sana na uchumi wangu

Nilipogonga 30 tu nikasema SASA BASI

20s nimeruka na kila demu wa kila engo inayokuja kichwani mwako ndugu msomaji[emoji2]

So ladha ni zile zile hakunaga maajabu nimegundua nilipoteza millions katika mapenzi

Nilipogonga 30 tu nikawa more focused nimeshafanya lifetime investment kadhaa na kila Senti yangu nayopata ni investment and reinvestment tukutane tena at 45 inshallah!!

Mapenzi gharama sana hasa Kama una background mbaya ya kiuchumi lazma u sacrifice kimoja wapo ili uwe stable

Msoto niliopitia kwenye hili life sitaki wanangu waje wawe Kama Mimi this is known as uplifting your generational economy

Bye bye wadangaji[emoji1787]

See u at the top
 
Back
Top Bottom