Mabaharia wenzangu, ukitembea na pisi kali, hakikisha unabebesha mimba

Babu ni jux ndo hana kizazi🀣 warembo wote kashindwa kupachika hata
Isije kuwa zile stori za "Mji mzito" ni za kweli kwamba anashiriki ile michezo ya Vijana wa hovyo πŸ™Œ

Ila Mjukuu, suala la nani wa Kuzaa naye huwa linaamuliwa na Mwanamke mwenyewe

Imagine umri wangu huu wa Uzee, hivi Kuna Binti anaweza kunitegea mimba kweli?😜
 
Wapo wanaoweza kama una mijumba, mashamba mengi hlf watoto wawili kwanini usitegewe tugawane wote chochote kitu
Mimi nataka nimtegee mchumba wangu
 
Zingine zikibeba mimba zinakongorokaa
 
Wapo wanaoweza kama una mijumba, mashamba mengi hlf watoto wawili kwanini usitegewe tugawane wote chochote kitu
Mimi nataka nimtegee mchumba wangu
Nahisi hata nguvu zenyewe Sina za kuweza kushughulika ili hao watoto wenyewe waje

Maana umri huu kulenga shabaha huwa ni kazi sana Kwa sisi Wazee 😜

Huyo Mai wako hakikisha unamuwahi mapema kumbebea kabla hajafika umri wangu,maana zoezi huwa gumu sana kutokana na Uzee 😜 πŸ€—
 
Babu itabidi nifanye chap mchumba ashaanza kutoka mvi, hamjapishana sana umri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…