Duh,naona umetia chumvi kidogo katika kushadidia kuwa na wewe ni mmojawapo wa mabahiliMademu wa leo warahisi sana ukitoa hela umepanda tu leo nimekutana na mmoja yaani alivyokuwa akijilegeza kwangu
Nikamvuta nikamkumbatia katulia
Nikambusu katulia
Nikamla denda katulia
Mwisho wa siku nikakomelea kabisa
Tumetoka nikamnunulia msosi wa nguvu na sh/ 7000
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanachama wengi wa chama hichi Wana dual-membership, ni wanachama pia wa chaputa
Tupo wengi na ada ya mwanachama wa group hili tupo tayari kulipiaWale wote tusiokubali kuchunwachunwa au kupigwa mizinga na wanawake tukutane hapa kwa lengo la kujadili mbinu mpya na kufanyia maboresho mbinu tuzitumiazo za kujikinga dhidi ya kupigwa mizinga kirahisirahisi na hawa wanawake.
Mfumo dume lazima uenziwe na uabudiwe kwa namna yeyote ile,tusikubali kurudishwa nyuma
Karibuni mabahili wenzangu
NB:mabahili pia tunasifa ya kupewa huduma zetu bila kutumia force isipokuwa maneno tu
Mkuu chama chetu tuipe jina la "Chama cha Mabahili na Wasiokubali Kupelekeshwa kwenye Mapenzi Tanzania" (CHAMAKUMATA)Wale wote tusiokubali kuchunwachunwa au kupigwa mizinga na wanawake tukutane hapa kwa lengo la kujadili mbinu mpya na kufanyia maboresho mbinu tuzitumiazo za kujikinga dhidi ya kupigwa mizinga kirahisirahisi na hawa wanawake.
Mfumo dume lazima uenziwe na uabudiwe kwa namna yeyote ile,tusikubali kurudishwa nyuma
Karibuni mabahili wenzangu
NB:mabahili pia tunasifa ya kupewa huduma zetu bila kutumia force isipokuwa maneno tu
Mkuu chama chetu tuipe jina la "Chama cha Mabahili na Wasiokubali Kupelekeshwa kwenye Mapenzi Tanzania" (CHAMAKUMATA)Wale wote tusiokubali kuchunwachunwa au kupigwa mizinga na wanawake tukutane hapa kwa lengo la kujadili mbinu mpya na kufanyia maboresho mbinu tuzitumiazo za kujikinga dhidi ya kupigwa mizinga kirahisirahisi na hawa wanawake.
Mfumo dume lazima uenziwe na uabudiwe kwa namna yeyote ile,tusikubali kurudishwa nyuma
Karibuni mabahili wenzangu
NB:mabahili pia tunasifa ya kupewa huduma zetu bila kutumia force isipokuwa maneno tu
mjumbe mwenzangu nimefurahishwa na hilo swala la iPhone, sasa kama mwanachama mwenzangu hebu nipatie hints ni wapi nitapata iPhone yenye hiyo kitu mana kuna mbuzi hataki kutoa zigo hadi apewe iPhoneMimi zangu za mkopo akijifanya anaruka nahonga iPhone zenye iCloud namwambia hiyo ukiflashi fresh unakaa hewani hiyo ni password ya kawaida tuu na hii ni kwa vile visuuuu ila kichwani zero.....hawa wengine huwa tunakopa tu mwanzo mwisho.
Ndg mwenyekitiSi busara kuingilia vikao vya watu wazima mabahili tunapopanga mipango yetu,naomba jopo la ulinzi la mabahili limchunguze huyu mgeni,tafadhal jopo la ulinzi liwasilishe ripoti isiyozid maneno tisa na nusu ili kubana matumizi ya wino na karatasi
Ahsante kwa kutuletea ripot,ripot imebeba takribani maneno ishirin na saba yenye ujumbe kuntu,ahsante sana lazima upewe ulinzi binafsi na jua maadui watakuandama kutokana na ripot hiiNdg mwenyekiti
kama kamati ya ulinzi naleta ripot kuwa huyu bidada anahasira sana na sisi kwa kuwa juzi alikopwa penzi na hajalipwa hadi hivi sasa ninapokukabidhi mrejesho
nashukuru kamwe sitowaangusha nmeapa kukilinda chama♥♥ zid ya wahujum uchumi(wa....nawake)Ahsante kwa kutuletea ripot,ripot imebeba takribani maneno ishirin na saba yenye ujumbe kuntu,ahsante sana lazima upewe ulinzi binafsi na jua maadui watakuandama kutokana na ripot hii
Tutashukuru endapo ukijitolea kuwa kama mzee mshauri katika chama hikiNingekua sijaoa ningekuwepo japo nilikua nahonga sana mpka nikafilisika,sasa kwa hili nilitaman niwepo ila haiwezekan,ha ha ha sikuhiz nimekua bahil mpka kula kwang
Kwangu sina mashaka juu ya kukupa kazi hiyo ila ngoja kura ya veto/turufu ipigwe na wajumbe,ukihizinishwa na Joseverest utakuwa tayari umepata kazinashukuru kamwe sitowaangusha nmeapa kukilinda chama♥♥ zid ya wahujum uchumi(wa....nawake)
Hahahaha mkuu sawaKwangu sina mashaka juu ya kukupa kazi hiyo ila ngoja kura ya veto/turufu ipigwe na wajumbe,ukihizinishwa na Joseverest utakuwa tayari umepata kazi
Siri ya utajiri ni ubahili
Sema tusiokuwa na hela sio mabahili.
Kwani kwenye huo muamala wameandika kwamba umetuma pesa kwa MCHEPUKO wako au wameandika jina la mpokeaji??? Kama umemtumia mama yako mzazi tutajuaje?Umasikini tuu, embu cheki mtoto mkali anacheka na 50K jioni hii, bado kesho tena anapata nyingine
Mtaishia kula mademu wabovu wabovu ambao hata viwanja hamuwezi kwenda nao, wananuka vijasho na chupi zimetoboka
Kwani kwenye huo muamala wameandika kwamba umetuma pesa kwa MCHEPUKO wako au wameandika jina la mpokeaji??? Kama umemtumia mama yako mzazi tutajuaje?
Halafu siyo kweli wanaohongwa hela ndefu ni wasafi,wengine hela hizo za kuhongwa zinawafanya wawe wachafu zaidi.
Kumbuka pia kutuletea sms siku ukitemwa
Mademu wa leo warahisi sana ukitoa hela umepanda tu leo nimekutana na mmoja yaani alivyokuwa akijilegeza kwangu
Nikamvuta nikamkumbatia katulia
Nikambusu katulia
Nikamla denda katulia
Mwisho wa siku nikakomelea kabisa
Tumetoka nikamnunulia msosi wa nguvu na sh/ 7000