Mabahili na tusiopenda kupelekeshwa katika mapenzi wote tukutane hapa

Mi mara ya mwisho nimeonga juzi laki 4
 
Nahitaji kuongea na waandish wa habari mchana huhu
 
Duuhh mkuu kwaiyo usiku kucha mtoto wa watu alikuwa anazungusha kiuno ?? Umemchosha aisseh
 
hamjitambui kua nyie wanaume,,tafuteni muhudumie acheni umama
 
hamjitambui kua nyie wanaume,,tafuteni muhudumie acheni umama
Si busara kuingilia vikao vya watu wazima mabahili tunapopanga mipango yetu,naomba jopo la ulinzi la mabahili limchunguze huyu mgeni,tafadhal jopo la ulinzi liwasilishe ripoti isiyozid maneno tisa na nusu ili kubana matumizi ya wino na karatasi
 
hαвαrín ndugu zαngu kαtíkα chαmα híkí
hαkíkα nínα furαhα хαnα kuσnα tumєungαnα kwα pαmσjα kupíngα hílí jαmвσ lα kuhσngα hαkíkí mímí nσ mσjα чα mrukα mízíngα mzurí ѕαnα αf ѕσund nчíngí ílα pєч dαh! mkuu nασmвα fσmu
 
Nimejisajili kwenye hili chama hivi karibuni
Matunda yake nayaona kwa wing
Kitukuzwe chama [emoji122]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mademu wa leo warahisi sana ukitoa hela umepanda tu leo nimekutana na mmoja yaani alivyokuwa akijilegeza kwangu
Nikamvuta nikamkumbatia katulia
Nikambusu katulia
Nikamla denda katulia
Mwisho wa siku nikakomelea kabisa
Tumetoka nikamnunulia msosi wa nguvu na sh/ 7000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…