Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakuu mi naomba utunza mshiko au ubahili hadi ndani ya chama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakuu mi naomba utunza mshiko au ubahili hadi ndani ya chama?
Naombeni niwe Afisa MipangoFomu za ukatibu mkuu nitazipata wapi?? hahaha
Hahaha...kuwa tuNaombeni niwe Afisa Mipango
Duuhh mkuu kwaiyo usiku kucha mtoto wa watu alikuwa anazungusha kiuno ?? Umemchosha aissehSure kwakweli,
Mie juzi demu kwa mara ya kwanza nimemwambia nimtoe out kaja na rafiki zake wawili nkamlia gap akaja kala wakanywa vzr bill laki moja na 70 sa1 mpaka sa5 usiku.
Nikamwombe mchoze akajifanya anataka enda kwao baadae akakubali kuachia uvungu nimetafuna usiku kucha chumba 35.
Asbh nimemuacha bila bila,
Baada ya siku2 anaomba ela ya lotion 20 nkamjibu jifunze kuja peke ako sijabaki na chenji.
We toka jana nimependekezwa mie hapamm nipeni katibu mwenezi[emoji23]
Umepita bila kupingwaNipeni uenyekiti
Ndio Mkuu kala pesa yangu yy nimemwambia aje peke ake kaniletea timu unadhania mchezo.Duuhh mkuu kwaiyo usiku kucha mtoto wa watu alikuwa anazungusha kiuno ?? Umemchosha aisseh
Si busara kuingilia vikao vya watu wazima mabahili tunapopanga mipango yetu,naomba jopo la ulinzi la mabahili limchunguze huyu mgeni,tafadhal jopo la ulinzi liwasilishe ripoti isiyozid maneno tisa na nusu ili kubana matumizi ya wino na karatasihamjitambui kua nyie wanaume,,tafuteni muhudumie acheni umama
Du nimeipendaSitaki masihara amenusurika kupigwa kibuti muda huu baada ya kuniomba nimuingie kifurushi cha jero
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nimejisajili kwenye hili chama hivi karibuni
Matunda yake nayaona kwa wing
Kitukuzwe chama [emoji122]
Neno gharama kwetu sisi mabahili tunaliogopa zaidi ya alshabab au boko haramHakuna gharama za kujiunga na hili Chama...
Jidanganye kuna mashine!pesa IPO ya kutosheleza ila kuhonga mwiko wa kwanza mm hapa mtoto wa kihaSema tusiokuwa na hela sio mabahili.