Mabalozi wa kigeni wanaohudhuria kesi ya Mbowe waonywa

Kwa hiyo wewe ulitakaje ulitakaje, lazima ujue kuwa binadamu Ana's akili na hufanya tafakari kulingana na wakati na mazingira, na kutambua mahitaji yake, kwa kuamua kwa akili yake.
 
Kwa hiyo wewe ulitakaje ulitakaje, lazima ujue kuwa binadamu Ana's akili na hufanya tafakari kulingana na wakati na mazingira, na kutambua mahitaji yake, kwa kuamua kwa akili yake.
Mimi naenjoy hiyo hali, hauna haja ya kupanic. Hiyo miungano ndiyo undugu na umoja wetu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Sasa mbona anatafuta mzozo wa bure?
 
Kama Ojamong ana ubavu kwanini asiamuru Sirro akawapige mabalozi mabomu ya machozi pale pale mahakamani na kuwakamata kwa kukiuka sheria?!
 
Naona Lissu kesha aanza kumsagia Mama Kunguni huko kwa Mabeberu!!
 
Hivi balozi wa Tanzania anaweza kuhudhuria kuangalia mwenendo wa kesi za wapinzani wa Joe Biden kule Marekani?!!!

TANZANIA IS A SOVEREIGN STATE
 
Kesi zote ziko hurru kwa kila mtu na open court why waonywe ??? Hakuna kuonywa wala hawaogopiii
Keshatoa sababu

diplomacy ina taratibu zake ndio maana na wao wana immunity beyond any other ordinary citizen
 
Unazungumzia hisia zako. Ni kinyume cha sheria gani? Hakuna ukiukaji wowote.

Mulamula kwenye ufafanuzi wake alisema wanatakiwa watoe taarifa ili wapewe ulinzi. Lakini hawafanyi kosa lolote kufuatilia hiyo kesi ya kubambikizà.

Wewe unataka mabalozi wahudhurie kesi dhidi ya wevi wa kuku?
 
Hivi balozi wa Tanzania and West kuhudhuria kuangalia mwenendo wa kesi za wapinzani wa Joe Biden kule Marekani?!!!

TANZANIA IS A SOVEREIGN STATE
Kwa kuwa hawana wanayoficha kwa aibu kama nyie unaweza hudhuria.kwani wao hawa bambikii kama nyie.
 
Kwa nini unalazimisha?
 
Hii reaction yao kwa mabalozi ni faida kwetu wapenda demokrasia, tuendelee kupaza sauti na kutoa elimu kwa umma bila kuchoka.
 
Nilisoma hii habari nikathibitisha fikra zangu kuwa CCM inaangamia kwa viongozi wake kukosa maarifa.
Wakati huo wakiwaangamiza Wananchi pamoja nao kwa sababu ya uroho wa madaraka.Wameng'ang'ania na wanakuambia nchi haichukuliwi kwa karatasi(Ya Kura Sandukuni?).Hakuna mbadala!!!?
Mbadala wenye gharama nafuu ni Katiba ya Wananchi.Mzee Warioba na Tume aliyoiongoza walimaliza kazi,tunaanzia hapo.Tuunde Jopo la Wataalam waliobobea kwenye masuala ya Katiba, waichakate na kuiboresha Rasimu ya Warioba,tupige kura.Kura zisimamiwe na EAC,SADC,AU&UN ndipo Tanzania itakapopata uponyaji.
Angalizo:Tunavyokawia zaidi kuchukua hatua ndivyo Damage inaongezeka na ndipo uponyaji huhitaji nguvu kubwa zaidi.
 
Kama keeling mshtakiwa ni gaidi, wanaficha nini?
 
Kigogo anasema mbowe anashitakiwa kwa kuakiandika kwenye diary mikakati ya ugaidi,
Kwa hiyo siro ushahidi wake ni diary

huo ni ugaidi wa maandishi siyo wa vitendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…