Baadhi ya mabalozi nchini waliofika mahakamani leo kufatilia kesi inayomkabiri Mh. Mbowe.
View attachment 1916760
Mabalozi sio Mahakama, hata wakija wote mahakamani haisaidii chochote.
wafuasi wa Mbowe wanadhani Mbowe anaweza kuachiwa huru kwa shinikizo la mabalozi kuhudhuria mahakamani?! kwahiyo mahakama inaweza kuogopa?!
yaani vyombo vyetu viogope au vione aibu kutimiza majukumu yao ya kikatiba eti kisa mabalozi, acha mabalozi hata Rais yeyote yule anaruhusiwa kusikiliza kesi, wafuasi wa Mbowe acheni kutegemea huruma za mabalozi.
huo ni upuuzi kutegemea hivyo!!
ufinyu wa kufikiri!!
Mbowe hayuko juu ya Sheria za Tanzanaia ni Gaidi kama walivyo watuhumiwa wengine waliopo gerezani,
atashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.
wafuasi wa mtuhumiwa Gaidi Mbowe jiandaeni kisaikolojia, msidhani mabalozi wataishawishi mahakama imfutie kesi gaidi, hilo halipo.
ushahidi upo, na waendesha kesi wamejiandaa kuelezea mipango yote miovu ya Mbowe aliyo kuwa akiratibu kuitekeleza.
nawashauri wafuasi wa Mbowe wawe watuluvu waache kufanya vurugu mahakamni kama Jana wale akina mama walio nunuliwa walikuwa wanagaragara mahakamani na kulia, hayo yote kamwe hayotomsaidia mbowe zaidi ya ushahidi.