Mabalozi wapuuza onyo la Balozi Mulamula kutohudhuria kesi ya Mbowe

Halafu hao kina mama wanao garagara nje ya mahakama kweli hiyo sio vurugu?
je inaruhusiwa kufanya vitendo vya kugaragara na kupiga mayoe mahakamani?
Polisi lindeni hadhi na usalama wa mahakama usichezewe na hao wahuni.
Anaye Tia aibu Ni aliyemshtaki Mbowe kwa kosa asilolitenda ama ni kinamama wanaodai haki yao?
 
Basi kama ni kweli Rais kavunja katiba ashauliwe vizuri.
Guys Tanzania is fucked and Samia is busy talking and chatting with the so called wawekezaji when they are just robbers of your resources. And she is busy to just putting women in powerful positions which is a good idea but she got it wrong on Mulamula's appointment who is always talking about diplomasia diplomasia which is kutongozana mmoja aliwe for nothing it is hard now here abroad to identify yourself as a Tanzanian because of all that is happening now only brother Magu made us walk heads high
 
Baadhi ya mabalozi nchini waliofika mahakamani leo kufatilia kesi inayomkabiri Mh. Mbowe.

View attachment 1916760
Mabalozi sio Mahakama, hata wakija wote mahakamani haisaidii chochote.
wafuasi wa Mbowe wanadhani Mbowe anaweza kuachiwa huru kwa shinikizo la mabalozi kuhudhuria mahakamani?! kwahiyo mahakama inaweza kuogopa?!
yaani vyombo vyetu viogope au vione aibu kutimiza majukumu yao ya kikatiba eti kisa mabalozi, acha mabalozi hata Rais yeyote yule anaruhusiwa kusikiliza kesi, wafuasi wa Mbowe acheni kutegemea huruma za mabalozi.
huo ni upuuzi kutegemea hivyo!!
ufinyu wa kufikiri!!
Mbowe hayuko juu ya Sheria za Tanzanaia ni Gaidi kama walivyo watuhumiwa wengine waliopo gerezani,
atashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.
wafuasi wa mtuhumiwa Gaidi Mbowe jiandaeni kisaikolojia, msidhani mabalozi wataishawishi mahakama imfutie kesi gaidi, hilo halipo.
ushahidi upo, na waendesha kesi wamejiandaa kuelezea mipango yote miovu ya Mbowe aliyo kuwa akiratibu kuitekeleza.
nawashauri wafuasi wa Mbowe wawe watuluvu waache kufanya vurugu mahakamni kama Jana wale akina mama walio nunuliwa walikuwa wanagaragara mahakamani na kulia, hayo yote kamwe hayotomsaidia mbowe zaidi ya ushahidi.
 
Wako sahihi kwa mujibu wa sheria zipi?

Wao kuwa na "diplomatic immunity" haimaanishi wavunje sheria za nchi mwenyeji.

Na kama wako sahihi kwa nini wizara iliwapa angalizo?
Kama hawako sahihi serikali kwanini haikuwazuia mlangoni wasiingie? Halafu hiyo kesi ni public au siyo?
 
Kweli kuandika kiingereza fasaha sio kipimo cha akili
 
Mulamula Yuko weak Hana ubavu wa kufokea mabalozi kuzingatia mkataba wa Vienna Convention

Kumtoa Profesa Kabudi mama Samia alichemka
Mulamula ana uraia wa Marekani ndio maana ambassadors hawamuogopi
Purofesa majalalani labda uniambie kutoa mimacho na kuchomeka misamiati ya Kiswahili kama tashwishwi,....
 
Halafu hao kina mama wanao garagara nje ya mahakama kweli hiyo sio vurugu?
je inaruhusiwa kufanya vitendo vya kugaragara na kupiga mayoe mahakamani?
Polisi lindeni hadhi na usalama wa mahakama usichezewe na hao wahuni.
Polisi hawajawagusa kwa kuogopa aibu kwa mabalozi waliokuwepo hapo, imagine kama wasingekuwepo hicho kipigo wangepata kingekuwa cha standard gauge [emoji23][emoji23]
 
What are those specific roles? When you beg them for their support to run your country its ok but when they want to see how justice and rule of law is being done you quickly term it as interference and going contrary to their roles and responsibilities.
 
Sasa kama wewe unaona siyo sahihi ni kwa nini serikali haijawazuia au kuchukua hatua zozote? Punguza porojo kwa sababu kama una imani kwamba mashitaka na process nzima ni genuine why worry yourself? Una wasi wasi gani kwa wao kwenda mahakamani if you think justice will prevail?? Kwanza mahakama huwa ni sehemu ya yeyote anayetaka kwenda na kusikiliza. I will tell you this kitendo cha yule balozi eti kuwachimba biti wasiende ndicho kilichofanya waende kwa lazima kwa sababu ikionekana ni kama kuna kitu kinafichwa, na hata watu wanashangaa sana kuona mapolisi wamejazwa kibao eneo la mahakama na kuzuia watu, tena walioko nje kabisa.
 
Wako sahihi kwa mujibu wa sheria zipi?

Wao kuwa na "diplomatic immunity" haimaanishi wavunje sheria za nchi mwenyeji.

Na kama wako sahihi kwa nini wizara iliwapa angalizo?
Onyesha sheria iliyovunjwa kwa wao kwenda mahakamani sasa. Hivi unataka wasiende mahakamani kuna nini hasa mnataka kuficha? Kumbuka majuzi tuu mmepokea chanjo milioni moja from USA, misaada mbalimbali from hizo nchi. Sasa kama tuu hapa nchini kuna wananchi wanaoamini hiyo kesi siyo ya haki na ndiyo maana wa nafuatilia mahakamani what's wrong na hao mabalozi nao wakienda? Unadhani wao hawana wanasheria wao wa kuwapa ushauri ili kujua kwamba kwa kwenda mahakamani kuna sheria wameivunja? Unadhani wao ni mambumbumbu wa sheria?
 
Balozi masikini anampigaje mkwara balozi tajiri, mama naye anamatatizo ya akili kumbe , alijua akitembelea nyota ya mkwara atapata kiki matokeo yake kapata aibu, Kesi ni kitu ambacho hakuna mtu anayekatazwa kwenda kusikiliza ni dfuniani kote. Mama kajitia aibu sana
 
Mulamula Yuko weak Hana ubavu wa kufokea mabalozi kuzingatia mkataba wa Vienna Convention

Kumtoa Profesa Kabudi mama Samia alichemka
Mulamula ana uraia wa Marekani ndio maana ambassadors hawamuogopi
Acha uongo wako hapa Eti mama mulamula ana uraia wa Marekani!!!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…