Mabalozi wapuuza onyo la Balozi Mulamula kutohudhuria kesi ya Mbowe

Endelea kuota kwa yanayo endelea na vile mnajitekenya wenyewe kwa kufuta legacy ya Hayati Magufuli, nakuambia 2025 mtaitambua nguvu ya wasukuma.
Tzn hii mwananchi gani amewahi chagua Rais? 😁😁 .Mwenye nguvu ni aliyeshika dola
 
Huyo mulamula ni mama mmoja mjinga anaetumia tumbo lake kufikiria...pamoja n kukaa nje ni mjinga kuliko lusinde
Huu uhuru wa vyombo vya habari umetufanya sote tumekuwa mabingwa pale tunapokamata kalamu. Yaani leo mama Mulamula amekuwa mjinga wewe ndiyo umekuwa mwerevu? Kha!
 
Jana na leo tumeona wawakilishi wa mabalozi haswa kutoka nchi za Marekani , Uingereza na Sweden kwenye mahakama kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhujumu uchumi na Ugaidi inayomhusu Mh .Mbowe na wenzake watatu. Je hii inatoa tafsiri gani kwenye nyanja za kidiplomasia?
 
Awaache kwani wanamwathiri nini au anataka nao wafunge waondoke kama Denmark
 
Mulamula Yuko weak Hana ubavu wa kufokea mabalozi kuzingatia mkataba wa Vienna Convention

Kumtoa Profesa Kabudi mama Samia alichemka
Mulamula ana uraia wa Marekani ndio maana ambassadors hawamuogopi
Kwahiyo kufokea mabolozi ni sifa nzurii?
 
Mulamula Yuko weak Hana ubavu wa kufokea mabalozi kuzingatia mkataba wa Vienna Convention

Kumtoa Profesa Kabudi mama Samia alichemka
Mulamula ana uraia wa Marekani ndio maana ambassadors hawamuogopi
Mabalozi walimsindikiza lissu airport wakati huo magu alikimbilia dom, mabolozi hawaogopi matakataka ya ccm
 
Mama nchi ilimshinda week 1 tu....sasa bora liende anawaacha machogo waparurane wenyewe
 
Baadhi ya mabalozi nchini waliofika mahakamani leo kufatilia kesi inayomkabiri Mh. Mbowe.

View attachment 1916760
Kama ni kweli hawa jamaa (wawakilishi wa mabeberu) wamejihudhurisha mahakamani, basi tukumbuke ile aibu ambayo Mchonga akiwa rais alitusisitiza kuondokana nayo;
Kutembeza bakuli kuomba (saidia sadia masikini)

Mwendazake kuna mambo aliwakata mikono kwa kutotaka waingilie mambo yetu ya ndani. Sasa mama Mulamula kawa too soft, wanamchukulia poa tu, simply yeye anaekupa "vimsaada" anakunyima ujasiri wa kutojua set-up ya chumbani kwako ikoje.

Labda baadae "watatuelewa" tukiwazuia wasiingilie mambo yetu ya ndani.
 
Upewe Mkopo wa 1.2 Trilion halafu usifuatiliwe , unafikiri watu waliokota hizo pesa.

Watu wanataka kusikia wenyewe kwa kuwepo hapo hapo Mahakamani nini kinaendelea.

Mana wanajua kuna janja janja nyingi sana, wamjue Gaidi na wajue watafanya nini kuzielezea nchi zao.
 
Mulamula Yuko weak Hana ubavu wa kufokea mabalozi kuzingatia mkataba wa Vienna Convention

Kumtoa Profesa Kabudi mama Samia alichemka
Mulamula ana uraia wa Marekani ndio maana ambassadors hawamuogopi
tunaweza kuwafukuza
nini kuwafokea

kidume kingekuwepo wasingethubutu na wanajua bi mkubwa dhaifu

anategemea wazungu mpaka kupiga picha za utalii kaita wazungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…