Mabango ya GSM yaondolewa Uwanja wa Mkapa

Hivi mnaofahamu kimalkia TFF kirefu chake ndiyo Football Tanzania Federation kama walivyo andika CAF kwenye barua au ni barua ya kubumba?
 
Hivi mnaofahamu kimalkia TFF kirefu chake ndiyo Football Tanzania Federation kama walivyo andika CAF kwenye barua au ni barua ya kubumba?
Cha muhimu ujumbe umefika na mabango yame nyofolewa, hayo mengine hayatuhusu.
 
Yanga ndo team yenye mashabiki wengi Tanzania
Yanga ndo team iliyoingiza hela nyingi msimu uliopita kwa mujibu wa azam,

Chakushangaza wadhamini wake wanahangaika na team wanayosema ina faida ndogo ajabu kweli hii.
GSM anawekeza kwenye ligi na sio Simba. Kaa kwa kutulia kolo mwenzangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…