Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Kunywa Hii Nafsi Yako IburudikeKichapo kipo palepale Yanga 1 Simba 0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunywa Hii Nafsi Yako IburudikeKichapo kipo palepale Yanga 1 Simba 0
Cha muhimu ujumbe umefika na mabango yame nyofolewa, hayo mengine hayatuhusu.Hivi mnaofahamu kimalkia TFF kirefu chake ndiyo Football Tanzania Federation kama walivyo andika CAF kwenye barua au ni barua ya kubumba?
Safi sanaaa
GSM anawekeza kwenye ligi na sio Simba. Kaa kwa kutulia kolo mwenzanguYanga ndo team yenye mashabiki wengi Tanzania
Yanga ndo team iliyoingiza hela nyingi msimu uliopita kwa mujibu wa azam,
Chakushangaza wadhamini wake wanahangaika na team wanayosema ina faida ndogo ajabu kweli hii.
Mzee wetu, tupe utabir wako.Safi sanaaa![]()
Magazeti ya Kesho hayo. 😁😁GSM abanduliwa taifa
Mwambie huyo.GSM anawekeza kwenye ligi na sio Simba. Kaa kwa kutulia kolo mwenzangu
CAF hawawezi kuandika kiingereza kibovu namna hiiMambo yameumana hapa. Aibu kubwa kwa tff. View attachment 2039534
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣, Mkuu majib yako n murua.Cha muhimu ujumbe umefika na mabango yame nyofolewa, hayo mengine hayatuhusu.
Kwan walioko CAF wote wanajua kidhungu ?!CAF hawawezi kuandika kiingereza kibovu namna hii
MsyuuuuuiHivi mnaofahamu kimalkia TFF kirefu chake ndiyo Football Tanzania Federation kama walivyo andika CAF kwenye barua au ni barua ya kubumba?
Tena apewe tuzo ya NobelCEO Babra ajengewe Sanamu katikati ya Jiji la Dar
Tena apewe tuzo ya nobelCEO Babra ajengewe Sanamu katikati ya Jiji la Dar
Na kesho mvua inyeshe ili waoge Magori vyura waleHayawi hayawi sasa yamekuwa, UTO kuogelea magoli kesho.
Subiri sisi timu ya wananchi tuende kushitaki CAS uone kama nembo ya GSM haijarudishwaSimbA SC n timu kubwa Sana yaani.
Simba mpira ulishawashinda sasa wamehamia kufoji barua.Mambo yameumana hapa. Aibu kubwa kwa tff. View attachment 2039534