Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,641
- 2,646
- Thread starter
- #41
SimbA SC n timu kubwa Sana yaani.Mambo yameumana hapa. Aibu kubwa kwa tff. View attachment 2039534
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SimbA SC n timu kubwa Sana yaani.Mambo yameumana hapa. Aibu kubwa kwa tff. View attachment 2039534
KimeumanaNaomba Simba waendelee kukaza spana
Mikataba ya mchongo na janjajanja hatutaki kuiona kwenye ligi yetu
Spana ziendelee
View attachment 2039545
Sio baba tu mkuu🤝Simba babalao
Woyooooooo😂😁🧐🤝This is SimbaView attachment 2039550
Tumeshawapiga kisaikplojia, kesho inashuka mvua ya magoli.Utopox mnakaribishwa na huku uzi tayari.
Mkuu upooo ?!Hahahaha before and after
Kabisa, hili chama linatisha.[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] C E O anasema Ujanja Ujanja Simba ni mwisho. View attachment 2039598
Siyo wakubwa bali mambo mengi nchi hii Ni janja janja nyingi.nimeamini simba na yanga ni kubwa kuliko tff
Nafikiri ni amri ya CAF km barua inàvyoeleza.Naskia PM alipiga simu ndo TFF ikaufyata
Sure mkuu, true saySiyo wakubwa bali mambo mengi nchi hii Ni janja janja nyingi.
Tunajitungia sheria wenyewe halafu sisi wenyewe tunazikanyaga halafu tunataka watu wawe kimya km vile siyo tatizo.
hoja ni GSM. Na tumefanikiwa.Kichapo kipo palepale Yanga 1 Simba 0
Root, sema kitu.Aiseeee
TFF, TLB, GSM wana siri zao ambazo hawataki tujueRoot, sema kitu.
Mambo yameumana hapa. Aibu kubwa kwa tff. View attachment 2039534