Mabango ya GSM yaondolewa Uwanja wa Mkapa

Mabango ya GSM yaondolewa Uwanja wa Mkapa

[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] C E O anasema Ujanja Ujanja Simba ni mwisho.
IMG_20211210_192239.jpeg
 
Siyo wakubwa bali mambo mengi nchi hii Ni janja janja nyingi.

Tunajitungia sheria wenyewe halafu sisi wenyewe tunazikanyaga halafu tunataka watu wawe kimya km vile siyo tatizo.
Sure mkuu, true say
 
Wao wanadhani mpaka sasa bado tuko kwenye zile enzi za team kuangukia TFF na kufanya kila takwa lao? Hayo mambo wakayafanye kwa team changa ambazo hazina mdomo.
 
Mwafrika ni tatizo kweli. Yaani taasisi kama CAF wanaandika kama layman! Angalia jina Tanzania herufi ya kwanza ya jina imeandikwa kwa herufi ndogo. Hakuna alama ya full stop baada ya neno chaos. Sentensi inayoanza na legal,neno legal halijaanza kwa herufi kubwa. N.k

Hili linaweza kuonekana dogo lakini kwa Nchi au taasisi makini hili ni kosa kubwa. Najaribu kufikiri ingekuwa statement hiyo ingeandikwa na UEFA, kesho ingekuwa story kubwa kwenye vyombo vya habari Ulaya.

By the way sina tatizo na maamuzi hayo
Mambo yameumana hapa. Aibu kubwa kwa tff. View attachment 2039534
 
Back
Top Bottom