Picha iko wapi?Kuna Mabango 2 kwenye malango ya kuingia na kutoka uwanja wa ndege wa Julius Nyerere International Airport yenye rangi za upinde wa mvua. Kila siku ninayaangaliaaaaaa hadi nachoka. Hivi Yale Mabango yanamaanisha nini? Maana hakuna maandishi mengine yoyote ila hiyo alama tu. Nani kayaweka pale, nani kayaruhusu yaweko pale, yanamaanisha nini?
Picha tafathariKuna Mabango 2 kwenye malango ya kuingia na kutoka uwanja wa ndege wa Julius Nyerere International Airport yenye rangi za upinde wa mvua. Kila siku ninayaangaliaaaaaa hadi nachoka. Hivi Yale Mabango yanamaanisha nini? Maana hakuna maandishi mengine yoyote ila hiyo alama tu. Nani kayaweka pale, nani kayaruhusu yaweko pale, yanamaanisha nini?
Bila picha Uzi huu ni batili..Kuna Mabango 2 kwenye malango ya kuingia na kutoka uwanja wa ndege wa Julius Nyerere International Airport yenye rangi za upinde wa mvua. Kila siku ninayaangaliaaaaaa hadi nachoka. Hivi Yale Mabango yanamaanisha nini? Maana hakuna maandishi mengine yoyote ila hiyo alama tu. Nani kayaweka pale, nani kayaruhusu yaweko pale, yanamaanisha nini?
Na ule upinde wenyewe wa mvua unaotokea angani, Tuuondoe sio[emoji849][emoji848]Somo la jinsi upinde unavyopatikana siku hizi lisitishwe?
Mwenyezi Mungu hakukosea ila wanaotumia alama hio kinyume na Mungu ndio wenye makosa.Sema unataka tujue kuwa umepanda ndege, upinde wa mvua ni kosa? kwa hiyo MUNGU alikosea kutengeneza upinde wa mvua?
Basi sawaMwenyezi Mungu hakukosea ila wanaotumia alama hio kinyume na Mungu ndio wenye makosa.
Huhitaji kuoanda ndege ili kuona rangi za upinde kwenye bango, nenda Gongola Mboto TU via Nyerere road kisha tupa macho kushoto utaona Bago jeusi tii katikati Kuna alama hiyo.Sema unataka tujue kuwa umepanda ndege, upinde wa mvua ni kosa? kwa hiyo MUNGU alikosea kutengeneza upinde wa mvua?
Pia hiyo utamsifia Magufuli?Nimeangalia logo ya Total baada ya kuongeza energies..aisee hawajaacha rangi.
Sema unataka tujue kuwa umepanda ndege, upinde wa mvua ni kosa? kwa hiyo MUNGU alikosea kutengeneza upinde wa mvua?
Na ule unao chorwa mawinguni vipi? Sikiliza wewe kilaza Ushoga nu Tabia na sio upinde wala sijui kitu gani, kuna watu ni Mashoga na hawatumii hata hizo rangi, hizo ni rangi zipo enzi na enziKuna Mabango 2 kwenye malango ya kuingia na kutoka uwanja wa ndege wa Julius Nyerere International Airport yenye rangi za upinde wa mvua. Kila siku ninayaangaliaaaaaa hadi nachoka. Hivi Yale Mabango yanamaanisha nini? Maana hakuna maandishi mengine yoyote ila hiyo alama tu. Nani kayaweka pale, nani kayaruhusu yaweko pale, yanamaanisha nini?