eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Mbona hayo mabango kama hayo yapo siku nyingi? au wewe ndiye unaleta tafsiri potofu. Au nikiwa na kampuni yangu inayojishughulisha na clearing and forwarding siwezi kuweka logo yenye upinde wa mvua?
Ukienda Moshi Mjini kuna jengo limeandikwa Rainbow na kuchorwa Upinde wa mvua japo ndani ya jengo hilo vinafanyika shughuli nyingine kabisa.
Au chukulia pale Dodoma mwenye Rainbow lounge aamue kuchora Alama ya upinde wa mvua kuakisi Jina la Rainbow atakuwa amekosea?
Tuacheni kuandika sana kuhusu Ushoga, tujikite kwenye kuzuia malezi yanayoweza kusababisha ushoga.
Ebu fikiria serikali walisema wanafunzi kuanzia darasa la awali hadi la nne wasikae kwenye shule za bweni...katazo hili lilianza tokea Mei, 2023, je imetekelezwa na wenye shule?
Hawa jamaa bana wana visa tu. Badala ya kubuni nembo yao, wanaenda kuuchukua upinde wa mvua aliyouumba Mwenyezi Mungu.