Mabango yenye alama ya upinde wa mvua pale uwanja wa ndege DSM yamewekwa na nani?

Mabango yenye alama ya upinde wa mvua pale uwanja wa ndege DSM yamewekwa na nani?

Bila picha Uzi huu ni batili..
Bango kuuuubwa kabisa katikati rangi za upinde, hata barabarani kwa daladala TU unaona. Shida yetu hatujafundishwa kuangalia critically, hata mlango ulioandikwa Pull mtu ana push akiona hauendi ndio ana push
 
Shida hao watu wasio na maana wala akili wamejimilikisha upinde wa mvua ulioumbwa na Mwenyezi Mungu. Wabuni nembo yao, bimbaf.
Nyie ndio mnawamilikisha...wakianza kutumia rangi ya bluu tuiache pia?
 
Una mawazo yenye upuuzi sana...

Naomba nikuulize hivi Television! Wakati ule zikopoteza/Network zilikua zinaonyesha rangi zipi!?

Na juu ya anga tulivunzwa kutazama rangi zipi kuu! Si kumi na mbili(12) ya upinde wa mvua.

Usihadaike na vilivyo ha ulimwenguni, ishike imani yako kwani hiyo ndio funguo yako peponi.
 
Huhitaji kuoanda ndege ili kuona rangi za upinde kwenye bango, nenda Gongola Mboto TU via Nyerere road kisha tupa macho kushoto utaona Bago jeusi tii katikati Kuna alama hiyo.
Nani alikwambia hiyo ni alama rasmi ya ushoga? upinde wa mvua ni wa MUNGU mpk kwenye biblia upo
 
Kuna Mabango 2 kwenye malango ya kuingia na kutoka uwanja wa ndege wa Julius Nyerere International Airport yenye rangi za upinde wa mvua. Kila siku ninayaangaliaaaaaa hadi nachoka. Hivi Yale Mabango yanamaanisha nini? Maana hakuna maandishi mengine yoyote ila hiyo alama tu. Nani kayaweka pale, nani kayaruhusu yaweko pale, yanamaanisha nini?
Ndugu
Hata picha?
 
Bango kuuuubwa kabisa katikati rangi za upinde, hata barabarani kwa daladala TU unaona. Shida yetu hatujafundishwa kuangalia critically, hata mlango ulioandikwa Pull mtu ana push akiona hauendi ndio ana push
🤣🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣😂😂🤣🤣

Necheka kama mazuri.....
 
Habari bila picha/video clip sawa na takataka tu
 
Naomba wimbo wa MAHABA wa ally kiba.
Umfikie mpenzi wangu kutoka shinyanga ahsante
 
Na ule unao chorwa mawinguni vipi? Sikiliza wewe kilaza Ushoga nu Tabia na sio upinde wala sijui kitu gani, kuna watu ni Mashoga na hawatumii hata hizo rangi, hizo ni rangi zipo enzi na enzi
Hilo tunalijua kuwa ushoga uko kwenye kila jamii, lakini ni sehemu ya tabia mbaya ndani ya jamii sawa na wizi, uchawi, usengenyaji, na kupigana. Hakukuwa na mtu anaeupigia debe hadharani ili uwe halali na kukubalika kwenye jamii. Sasa hivi ni tofauti kabisa, yako mashirika kabisa na nchi wanataka iwe tabia halali kwa kutumia vishawishi vya fedha na mali. Hicho ndicho kavulata na wengine wanachokipinga.
 
Alama ya upinde wa mvua ina tatizo gani?

Upinde umekuwepo kwa mujibu wa Biblia baada ya Gharika; umetumika kama alama ya matumaini kwa vizazi kadhaa.
Zipo bidhaa, taasisi na mashirika yanayotumia alama ya upinde; leo tatizo ni nini?

Vipi kama hao wafedhuli watu wa LGBTQ wangeamua kutumia alama ya Jua - SUN au mwezi? Mngekuwa hamtoki nje kupigwa na miale ya Jua?

Mbona kama tunawapa promo zaidi kwa kuwatangaza kila siku katika kila jambo?

Embu jiulize leo watu wa LGBTQ na wengineo walioamua kuishi kwa namna wanayotaka, siku wakiamua kutumia alama ya mmea wa ngano, mpunga na mahindi mtaacha kula mikate, wali, pilau ikiwemo biriani na mtaacha kula ugali au mikate?

Tusipende kuvipa nafasi kubwa kwenye maisha vitu ambavyo hauna maamuzi navyo; jishughulishe na kile ambacho ni cha msingi zaidi katika maisha yako na familia.
Tuna matatizo mengine makubwa zaidi ambayo tunapaswa kupambana nayo kwa nguvu zaidi kuliko kushughulika na picha ya upinde wa mvua.

Halafu kila Mtanzania anakataa kwamba yeye sio mhusika kwenye LGBTQ lakini mkifumania mtu na mke wa mtu adhabu yetu pendwa ni kumlawiti?
Wanawake wengi wanakiri kuwa wanaume wengi wa siku hizi wanapenda kinyume na maumbile.

Sasa mtu ambaye unaweza kumwingilia mwanamke kinyume na maumbile kipi kinakutofautisha na hao wanaume walioamua kuwa mashoga.
Ikumbukwe kuwe anayeingiliwa na anayemwingilia mwenzake wote ni ''Mashoga''

Kwanini tunapenda kuficha maovu yetu kwa kichaka cha kuwalaumu sana hawa LGBTQ?

Kwanini kila mmoja wetu asiwe responsible kwenye maisha yake kwanza kabla ya kutaka kuubadilisha ulimwengu.

Watoto wanabakwa na kulawitiwa kila siku na jamii inajifanya kuwa haioni kabisa.
Watu wanaiba hela za serikali, hospitali huduma mbovu lakini haya sio masuala yanayoleta mjadala.

ZINGATIA: Simaanishi wala siungi mkono kwamba hao LGBTQ wapo sahihi lakini pia mimi ni nani kuwaamulia wanadamu wengine namna ya kuishi.
 
Kwani ujui upinde wa mvua unamaanisha nn mkuu? Au unatuchora?

Hujui kua huu Ni msimu wa masika, ishara ya hamasa Watu wakajikite kwnyw kilimo?
 
Kuna Mabango 2 kwenye malango ya kuingia na kutoka uwanja wa ndege wa Julius Nyerere International Airport yenye rangi za upinde wa mvua. Kila siku ninayaangaliaaaaaa hadi nachoka. Hivi Yale Mabango yanamaanisha nini? Maana hakuna maandishi mengine yoyote ila hiyo alama tu. Nani kayaweka pale, nani kayaruhusu yaweko pale, yanamaanisha nini?
Mtaishia kuchezewa akili tu na hao jamaa. Wakianza kutumia Mlima Kilimanyaro au Twiha kama alama yao mtaanza kuvipiga vita?
Maana agenda yao hawa ni kutumia vilivyopo, siyo kuanzisha vipya.
Wakianza kutumia suruali kama alama yao mtaacha kuvaa suruali na kuhamia kwenye khanga?
 
Kama mwenye nyuma alisema kama kubanduana banduaneni wenyewe watu wazima msituhatinie watoto then what do you expect.

Hatuna msimamo wa that wa kupambana na huu ushetani.
 
Kuna Mabango 2 kwenye malango ya kuingia na kutoka uwanja wa ndege wa Julius Nyerere International Airport yenye rangi za upinde wa mvua. Kila siku ninayaangaliaaaaaa hadi nachoka. Hivi Yale Mabango yanamaanisha nini? Maana hakuna maandishi mengine yoyote ila hiyo alama tu. Nani kayaweka pale, nani kayaruhusu yaweko pale, yanamaanisha nini?
Ulikuwa unasafiri au mlieanda study tour ?
 
Back
Top Bottom