Mabango yenye alama ya upinde wa mvua pale uwanja wa ndege DSM yamewekwa na nani?

Tupia tupicha Basi nasisi tulio vijijini tuonee
 
Na ule unao chorwa mawinguni vipi? Sikiliza wewe kilaza Ushoga nu Tabia na sio upinde wala sijui kitu gani, kuna watu ni Mashoga na hawatumii hata hizo rangi, hizo ni rangi zipo enzi na enzi
Boraa usemee wee.
 
Andiko bora kabisa hili, na watu wote wasome hapa kwa umakini mkubwaa.
 
Bango kuuuubwa kabisa katikati rangi za upinde, hata barabarani kwa daladala TU unaona. Shida yetu hatujafundishwa kuangalia critically, hata mlango ulioandikwa Pull mtu ana push akiona hauendi ndio ana push
hata mlango ulioandikwa Pull mtu ana push akiona hauendi ndio ana push🤣🤣🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shem ukute hata ubingwa huna.
Who knows?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nitakubaka leo Ngoja usm Alger tushinde
 

Mtoa mada wewe ukiona alama ya upinde wa mvua (Rainbow) unaeelewa nini?

Umeanza kuona alama ya Upinde wa Mvua ukiwa na miaka mingapi?

Huko kwenu upinde wa mvua huwa hautokei angani?

Tumia akili kidogo.......
 

Kaka naona leo umeamua walau kidogo utumie hiyo Phd yako. Umeandika vyema; hawa wajinga wachache wanapenda sana kuhusisha mambo mazuri na ujinga wao.

Upinde wa mvua umekuwepo maelfu ya miaka; wajinga wachache wanataka kuaminisha watu kuwa hii ni alama ya ushoga.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tutabakanaaa shem
Waambie mbona mondi na mbosso
Wana vaaga soksi zenye rangi hizo
Na wanashabikia kweli kweli [emoji1]

Ova
 
Shida hao watu wasio na maana wala akili wamejimilikisha upinde wa mvua ulioumbwa na Mwenyezi Mungu. Wabuni nembo yao, bimbaf.
Huwa najiuliza hizo rangi zinahusiana na nini na ujinga wao.

Wanatupa tabu hata kununua shari lenye rangi unaogopa haha, lazima ufanye uchunguzi na upembuzi yakinifu.
 
Leta picha
 
Mbona hayo mabango kama hayo yapo siku nyingi? au wewe ndiye unaleta tafsiri potofu. Au nikiwa na kampuni yangu inayojishughulisha na clearing and forwarding siwezi kuweka logo yenye upinde wa mvua?

Ukienda Moshi Mjini kuna jengo limeandikwa Rainbow na kuchorwa Upinde wa mvua japo ndani ya jengo hilo vinafanyika shughuli nyingine kabisa.

Au chukulia pale Dodoma mwenye Rainbow lounge aamue kuchora Alama ya upinde wa mvua kuakisi Jina la Rainbow atakuwa amekosea?

Tuacheni kuandika sana kuhusu Ushoga, tujikite kwenye kuzuia malezi yanayoweza kusababisha ushoga.

Ebu fikiria serikali walisema wanafunzi kuanzia darasa la awali hadi la nne wasikae kwenye shule za bweni...katazo hili lilianza tokea Mei, 2023, je imetekelezwa na wenye shule?
 
Huwa najiuliza hizo rangi zinahusiana na nini na ujinga wao.

Wanatupa tabu hata kununua shari lenye rangi unaogopa haha, lazima ufanye uchunguzi na upembuzi yakinifu.

Nadhani ni sisi tumewaendekeza. Yaani siku hizi badala ya kuchukia hiyo tabia chafu, tumeingia kwenye mtego wa kuzinyanyapaa rangi zinazounda upinde wa mvua.
Acha tu, yaani hii dunia ni ngumu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…